Wana JF, Mi nionavyo kuhusu foleni katika Jiji la Bongo ni kuchukwa maamzi makali ya kuamua kuzuia magari yenye kubeba abiria chini sita kuingia mjini. Pia na Sumatra kutoa leseni kwa mabasi makubwa tu
kwanioi busara isitumike katika kuongea, kutenda, kushauri.hadi kufikia hatua kuhukumu pasipo na hekima. Wote nyie ni kio katika jamii. Haipendezi kujiangalia ktk ukakuta picha yako kuwa ni kiumbe tofauti nawe. Kuweni na utu.
ukweli siku zote hupata vikwazo lakini mwishowe hushinda, tubaki tu kwenye ukweli na tuepuke malumbano ya kwamba kuna uvunjaji wa utaratibu. Viongozi tuonyeshi dira inayofaa bila kuepo na aina ya mchecheto wa muongozo wa hoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.