Nawatakia PASAKA NJEMA wanaJF wote!

Ndaga, japo hapa si kwenyewe
Itamuvuzishwa chit chat
 
Na wewe pia ubarikiwe keshakufa bwana wetu si unaona Giza hilo nje huko
 
poa bru.
nawe pia.kama ulikua mefunga ile mabo yetu usifungulie bana.
endelea na mfungo wa dhambi daima.
 
Wadau wote bila kubagua dini, kabila ama rangi, mafisadi, walio jivua gamba, wote nawatakia pasaka njema! Msherehekee vizur na familia zenu, msinywe kupita kiasi, muwe makin barabaran, msisahau kumwomba Mungu na kumshukurua pia. Hata mafisadi nao muwaombe kwa Mungu, mei b one day wataturudia japo kidogo. Mi asubuhi church nikitoka church home, jion nitakuwa mitaa ya london pub, ubungo- xternal karibun. Happy easter 2 all.
 
Jamani nawatakia pasaka njema,wengine tupo vijijini,huku simu za shida,radio station hazisikiki,tv hakuna kwani hakuna umeme,kidogo naona Moderm yangu imesoma,niwatakie pasaka njema kabla sijapotea kabisa.
Mungu awabariki wote
M.Byabato
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwa wana JF wote,
Katika safari ya Kalvari YESU KRISTO alibeba msalaba, alianguka mara tatu, alijeruhiwa na kudhihakiwa mara kadhaa na kufa kifo cha aibu. Hatimaye alishinda mauti. Nasi tupo katika safari kuelekea mbinguni, bila shaka tumeanguka mara kwa mara na kujeruhiwa pia. Hebu tumgeukie KRISTO na kutenda yale yaliyo mema tu hakika tutasimama imara na ushindi ni lazima.

Nawatakia Pasaka njema.
 
Ndugu wanajamii forum, ma'great thinkers wenzangu, nawatakia heri ya pasaka, TUSHEREHEKEE KWA AMANI TUKIJUA WATANZANIA WANATHAMINI NA BADO WANAHITAJI MCHANGO WETU. pASAKA NJEMA!
 
nami naungana na wakristo wote wapenda maendeleo endelevu dunianian kwa kuwapa heri ya pasaka:zaidi tuishi ktk kristo kwani kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
 
Asante, naamini utakumbuka maneno yako siku nzima ya leo; ukilazimika kunywa itakuwa home kwako, na ikiwa u must go out; hautaendesha ukiwa umelewa; na wala hutanunua Virus na Vimelea vingine!
 
Nawatakieni pasaka njema wanajf wote tusherekehe kwa upendo na amani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom