Recent content by jongo

  1. jongo

    Sintofahamu kuhusu mradi wa TASAF

    Kitendo cha serikali kufumbia macho fedha za mradi wa kunusuru kaya maskini (TASAF) zinazoliwa na watendaji wa vijiji na mitaa hakikubaliki, kufuatia kile kinachoitwa mradi huo kwenda kinyume na malengo ya kunusuru kaya maskini sasa unanusuru kaya tajiri na watendaji wa vijiji na mitaa, hasa...
  2. jongo

    Mwalimu wa masomo ya geography na literature anapatikana hapa

    Kwa shule yeyote inayohitaji mwalimu wa geography na literature anapatikana tuwasiliane kupitia 0712-478347
  3. jongo

    DAR: Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wakubali kurudisha mihuri, wakimbilia mahakamani

    Hatimaye baada ya vuguvugu la kurudisha mihuli kuendelea kwa muda mrefu hatimaye wenyeviti wote wa mkoa wa dar es salaam wakubali kurudisha mihuli kisha kukimbilia mahakamani kupata ufafanuzi wa jambo hilo baada ya mkutano wao wa pamoja uliofanyika katika ukumbi wa TTC chang'ombe Leo hii.
  4. jongo

    Natafuta ajira yoyote!

    jaribu kuwa makini unapo omba chuo kwani zingatia coz zinazopewa kipaumbele kama vile uwalimu
  5. jongo

    Natafuta shule ya kufundisha

    Nimemaliza chuo mwaka huu katika Chuo Kishiriki cha Elimu (DUCE), natafuta shule yeyote niweze kufundisha masomo ya GEOGRAPHY and LITERATURE kwa mkoa wowote hapa Tanzania!
  6. jongo

    Mwalimu wa Literature and Geography anatafuta kazi

    Mwalimu toka chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi nitakuwa na wewe toka sasa hadi natakapo pangiwa kituo cha kazi nitafute kupitia namba 0712478347 kwa masomo ya GEOGRAPHY NA LITERATURE
  7. jongo

    Shule ya Msingi al-Hilal ipo wapi?

    Alhilal primary school hapa dar es salaam inapatikana maeneo gani?
  8. jongo

    Mwalimu wa Literature and Geography anatafuta kazi

    hamna mkuu ndo namaliza this year
  9. jongo

    Mwigulu: Nitakuwa Waziri wa Fedha kwakuwa rais Kikwete alikuwepo kwenye harusi yangu...

    Nyie ndo mnaotusumbua kwan we unafikiri umaskin wako unaletwa na tz????
  10. jongo

    Private teacher

    i am a teacher of English from university of Dar es salaam kama upo tayari tuwasiliane kupitia namba 0712478347 ninaweza kumsaidia.
  11. jongo

    Mwalimu wa Literature and Geography anatafuta kazi

    Kwa taasisi yoyote inayohitaji mwalimu toka Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa masomo ya Literature na Geography tuwasiliane kupitia namba 0712478347. Nipo tayari kuanza kazi baada ya kufungua shule mwezi wa saba.
Back
Top Bottom