Mwalimu wa Literature and Geography anatafuta kazi

jongo

Member
Aug 15, 2012
26
1
Kwa taasisi yoyote inayohitaji mwalimu toka Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa masomo ya Literature na Geography tuwasiliane kupitia namba 0712478347.

Nipo tayari kuanza kazi baada ya kufungua shule mwezi wa saba.
 
Ni Mwalimu wa upe au proffesional? taja elimu yako tafadhali ili iwe rahisi kusaidiwa.
 
mkuu unataka only dar, mi ningekuhook mtwara, au unatafuta part time ?una ajira uko mjini?
 
Sasa utapata kazi kweli bila kutoa details za hiyo bidhaa (labour) unayotaka kukodisha. Mambo matatu waajiri wanataka kujua: 1. ability to do the job i.e. if you are really capable, 2. loving your job i.e. if you are really committed to do that job , 3. culture i.e. if you can fit in their working setting in relation to that job.

Show these three elements in convincing manner, please.
 
Kwa nini Dar na isiwe sehemu yoyote ndani ya Tanzania?

Kwani anafanya research mpaka umuulize swali kama hilo. Swali lako linaingilia privacy ya muhusika. Pia sababu za watu kuchagua Dar ziko wazi; jiulize kwa nini Dar kuna population kubwa kuliko mikoa mengine yote hapa nchini.
 
Hili swali linakuhusu wewe?
Kwani anafanya research mpaka umuulize swali kama hilo. Swali lako linaingilia privacy ya muhusika. Pia sababu za watu kuchagua Dar ziko wazi; jiulize kwa nini Dar kuna population kubwa kuliko mikoa mengine yote hapa nchini.
 
kuna nafasi moja wilaya ya longido anahitajika mtu aliyesomea ualimu. Majukumu yake yatakua kusimamia shule na kuhakikisha mambo yote yakitaluuma yanaenda sawa.
Probation miezi mi3 atanzia mshahara wa laki 7 net, baada ya probation utaongezwa, atapewa nyumba, atakatiwa nhif; Awe tayari kufanya kazi under pressure na pia mvumilivu kwasababu shule ipo longido ambako mazingira ni magumu kiasi. Shule ipo chini ya NGO yenye ofisi zake hapa mjini Ars. Inafadhiliwa na wamarekani.! Kwa bahati mbaya unataka Dar tu manake ningekupigia chapuo manake anahitajika kwa haraka sana.
my email; elly2007@ymail.com
 
lol.... kuna mtu kanitumia email kaniita tapel kisa nmeandika email yangu hapo juu. Kusema ukweli mimi siyo tapeli na hiyo nafasi ipo mpaka sasa haijapata mtu. Naamini hapa tupo kusaidiana pia so im sorry ALLI JUMA kama email yangu imekukwaza. Namba yangu ya simu ni 0764626967 elisha elirehema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom