Natafuta shule ya kufundisha

jongo

Member
Aug 15, 2012
26
1
Nimemaliza chuo mwaka huu katika Chuo Kishiriki cha Elimu (DUCE), natafuta shule yeyote niweze kufundisha masomo ya GEOGRAPHY and LITERATURE kwa mkoa wowote hapa Tanzania!
 
hayo masomo wapo wengi mkuu ingekuwa sayansi ingekuwa powaa ila komaa tuu kutafuta
 
nimemaliza chuo mwaka huu katika chuo kishiriki cha elimu (duce), natafuta shule yeyote niweze kufundisha masomo ya geography and literature kwa mkoa wowote hapa tanzania!

sio kipaombele cha serikali kwenye uchumi wa mafuta na gesi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom