Recent content by Jaluo_Nyeupe

  1. Jaluo_Nyeupe

    Azam FC vs Simba Sc | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    Simba wanatamani Fei toto achukue kiatu amzidi Aziz. Sasa leo ndio siku nzuri ya kumsapoti Fei ili aweze kubeba kiatu cha ufungaji bora.
  2. Jaluo_Nyeupe

    Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

    Ina maana hata Dr. Mwigulu humuoni? Wanyiramba nawajua vyema. Nikiweka kwa asilimia kwa maoni yangu weusi 15%, maji ya kunde 50% weupe 35%
  3. Jaluo_Nyeupe

    Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    Leo muhimu sio ushindi tu, ni ushindi uliombatana na Aziz kufunga.
  4. Jaluo_Nyeupe

    Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

    Makabila mengi wana watu wenye rangi mchanganyiko. Ikiwamo wanyiramba ambao wengi wao ni weupe na maji ya kunde. Weusi tii ni wachache.
  5. Jaluo_Nyeupe

    Maji ya ziwa Viktoria yavamia makazi Lamadi, kaya 400 hazina pa kwenda

    Kumbuka ni mita 60 kutokea pale ambapo maji ya mvua za Elnino yaliishia.
  6. Jaluo_Nyeupe

    Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    Akianzisha uzi muda wa mechi, tutapata wapi muda wa kujadiliana kuhusu hii mechi?
  7. Jaluo_Nyeupe

    FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

    Kabisa! Simba inabidi ajitahidi ashinde mechi zake na amuombee njaa Azam.
  8. Jaluo_Nyeupe

    Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

    Hii bila shaka ni kunong'ona.
  9. Jaluo_Nyeupe

    Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

    Kuongea bila kufungua mdomo kunaitwaje kwa kiswahili na kiingereza?
  10. Jaluo_Nyeupe

    FT: Mashujaa 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium 05.05.2024

    Aziz alipokea pasi pembeni kidogo ya 18 akampa Mudathir naye kwa kuwa yupo pembezoni mwa goli, akaona hakuna haja ya kufosi akampa pande Guede kamalizia kiulaini.
  11. Jaluo_Nyeupe

    FT: Mashujaa 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium 05.05.2024

    Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni michezo yao ya 25 kwa msimu huu. Unatarajiwa kuwa mchezo wenye...
  12. Jaluo_Nyeupe

    FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

    [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom