avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 7,389
- 12,931
WoteWanyiramba wa wapi wana meno ya floride Mkuu?
WoteWanyiramba wa wapi wana meno ya floride Mkuu?
Wanawake wote wanafanana mkuu. Akili zao wanaziJua wenyewe. Kikubwa tabia. Hayo mengine yote ni maua tu. Anaweza akawa na macho ya nyege lakini ukimpeleka kitandani hamna kitu. Usipime kina cha maji kwa miguu miwili.Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina
Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege..
Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba waliozaliwa miaka hii ya 2000
Asanteni
Fanya juu chini uijue familia yake, halafu mchunguze mama yake ni mtu wa aina gani. Utanishukuru baadae!Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina
Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege..
Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba waliozaliwa miaka hii ya 2000
Asanteni
Mkuu ndo nchi yako hii, utakimbilia wapi, inabidi tuishi nao tu. Wanase,a life is shortWatanzania tumekuwa very low minded people, watu tunaoshindwa kujenga hoja kwenye mambo magumu kitaifa wala kuuliza pale panapostahili zaidi ya kujadili mambo cheap kama haya alafu tunalalamika kilasiku hali ngumu. Pathetic
Yah ndio kidogo mda mwingi utatumia kwenye uzalishaji watoto wasilale njaaWiki Mara 3? Mboni KIDOGO
Kuna mmoja aliniletea hizo ratiba nikapiga CHINI haraka sanaYah ndio kidogo mda mwingi utatumia kwenye uzalishaji watoto wasilale njaa
Ndio maisha lazima utampata mwenye ratiba zinazoendanaKuna mmoja aliniletea hizo ratiba nikapiga CHINI haraka sana
Yule anasema "ni wewe tu ukijisikia" ndio ninaemtaka Hana ratiba ukijisikia kusuuza rungu unasuuza tuNdio maisha lazima utampata mwenye ratiba zinazoendana
Ni kweli kabisa kaka. Mimi Niko na mnyiramba wangu Mwaka wa 20 sasa. Vuta ndani kaka usichelewe kaka. 🙏🙏Nawajua Wala sio dada zangu
Huo ni upande wao mzuri ambao huwa hausemwi kirahisi ila ukiishi nao utajua
Hao kuvunja ndoa labda sijui kije Nini hata porini unaishi nae
Waelezee maana wengine tukiongea inaonekana chai ila nyiramba wanadumu sana ndoaniNi kweli kabisa kaka. Mimi Niko na mnyiramba wangu Mwaka wa 20 sasa. Vuta ndani kaka usichelewe kaka. 🙏🙏
Alafu ni majembe kweli, wanawake wa Shoka!Waelezee maana wengine tukiongea inaonekana chai ila nyiramba wanadumu sana ndoani
Hamjui mama yake, kalelewa na mama wa kambo wa kimeru. Hata singida unyirambani hajawahi kwenda.Fanya juu chini uijue familia yake, halafu mchunguze mama yake ni mtu wa aina gani. Utanishukuru baadae!
Hakuna namna mkuu😀😀Mkuu ndo nchi yako hii, utakimbilia wapi, inabidi tuishi nao tu. Wanase,a life is short
Ni pale watu wajinga wanapopewa nafasi katika media mbalimbali kwaajili ya kukuza brands zao na hata wanayoyajadiri kwenye hizo media houses ni very cheap issues na si delicate issues bila kujua hizo brands zinapandikiza ignorances kwenye jamii, kuondoa uwezo wa kudadisi, kuuliza na kudadavua mambo muhimu yanayoihusu nchi na mustakabari wa jamii nzima ya kitanzania. Lengo la hao watu ni kusifia na kudanganya ili mradi tu wapate kuonekana na kujulikana kwa viongozi wakubwa wakifikiri labda ipo siku nao watajumuishwa kwenye teuzi mbalimbali nchini. Tubadilishe mitazamo yetu kwa kukiokoa kizazi kijacho na uchawa unaoendelea na unazidi kupandikizwa kwenye jamii na watu hawa wanaojiona ni wasomi lakini wako radhi kudanganya na kusifia hata pasipo stahili ili matumbo yao yawe sawa.Yote haya ni kwa sababu ya ccm.
Wapumbavu wengi wakiwa maarufu na kupata uongozi huambukiza upumbavu wao kwa jamii nzima.
Makabila mengi wana watu wenye rangi mchanganyiko. Ikiwamo wanyiramba ambao wengi wao ni weupe na maji ya kunde. Weusi tii ni wachache.Wanyiramba hawana asili ya weupe. Wao ni weusi wenye meno ya kuungua kama Wachaga wa kishumundu. Huyo atakuwa mnyaturu. Tatizo Lenu mnadhani Kila atokaye singida au Kondoa ni mnyiramba
ni wakarimu sana, hawanyimi mtu uteleziNdugu zangu nataka mtakasike. Amina
Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege..
Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba waliozaliwa miaka hii ya 2000
Asanteni
dah, aisee, wanyiramba gani unawaongelea hao weupe? usichanganye na Wanyaturu ndugu. ulishawahi ishi singida?Makabila mengi wana watu wenye rangi mchanganyiko. Ikiwamo wanyiramba ambao wengi wao ni weupe na maji ya kunde. Weusi tii ni wachache.
Mikorogo hiyo na make up. Wanyiramba Ukiondoa wale waliolewa na waarabu Koko ni maji ya kunde meno kama zile kande za kipare za kichemsha na magaidi bila kukoboaMakabila mengi wana watu wenye rangi mchanganyiko. Ikiwamo wanyiramba ambao wengi wao ni weupe na maji ya kunde. Weusi tii ni wachache.