Recent content by jacksonduma

  1. jacksonduma

    Niulize chochote kuhusu uchimbaji wa Visima

    Ipo buswelu, hiyo bara bara ya mboga mboga !
  2. jacksonduma

    Niulize chochote kuhusu uchimbaji wa Visima

    Kwa nyamadoke mita shingapi? Na water table approx ni mita ngapi? Na je bomba na pampu zikiwa juu yangu gharama ni shingapi?
  3. jacksonduma

    Naomba ushauri kuhusu huu ujenzi

    Usifanye hivyo mkuuu utaingia cost mara mbili...fundi anachotaka ni hela yako tu.....ukigonga hizo mbao zikipigwa na mvua then jua....zitapinda na ubora utapotea Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  4. jacksonduma

    Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

    Naona bora kufanya hivi aisee Nunua vifaaa fundi apige kazi Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  5. jacksonduma

    Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

    Huku kwetu imefika 28000 Vinaumana tu Tuendeleee kuupiga mwingi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  6. jacksonduma

    Nina wasiwasi na hii Gari, ushauri wenu

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  7. jacksonduma

    Nina wasiwasi na hii Gari, ushauri wenu

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]utazoea tu...hata mimi nilikua kama wewe ila sasa hivi nimeshakua mjuzi acha tu...kwa mwaka mmoja tu
  8. jacksonduma

    Mnadhibiti vipi wizi katika ujenzi?

    Tunapenda sana kutumia kampuni [emoji2][emoji2][emoji2]ila hela ngumu...unakuta ujenzi unafanya hata miaka 5 ..ukipata unafanya hili ...kampuni si watataka hela yao yote
  9. jacksonduma

    Mnadhibiti vipi wizi katika ujenzi?

    Yaaan hii ndio kitu naitumia mimi hadi sasa kwenye ujenzi wangu...kila kitu nanunua mwenyewe na bagaini mwenyewe fundi analetewa vifaaa...navyo nampelekea kidogo vikipelea naongeza..sema changamoto yake ni kwamba utagharamikia usafiri mara kwa mara ila sio mbaya maana unacho okoa ni kikubwa...
  10. jacksonduma

    Ujenzi wa Vyumba viwili (Sebule na Master) utagharimu kiasi gani?

    Hapo mwenyewe nimeshauriwa na fundi...nitumie 2*4 chache na 2*3 Ila kuweka 2 *3 tupu inaweza isikae poa sana maana mbao zinabeba mzigo
  11. jacksonduma

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Wafamasia wanafanya nini ? Wanatoa dawa tu pale dirishani ?
  12. jacksonduma

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Wafamasia hawatambuliki ila ndio watu wenye pesa.......issue sio kutambulika issue unaingiza nini
  13. jacksonduma

    App ya kudownload lyrics

    Musixmatch ipo good
  14. jacksonduma

    Naweza kutumia Fonts style bili ku-root simu yangu?

    Yeah Hios zina built in fonts
Back
Top Bottom