Recent content by IJIGHA NDIO HOME

  1. IJIGHA NDIO HOME

    Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    kuoa mke aliezaa nimateso ya nafsi na mwili yan unaoa mke wa mtu
  2. IJIGHA NDIO HOME

    Asante Rais Samia kwa Maendeleo Sekta ya Maji Wilaya ya Ludewa

    luvuyo,lusitu,madope,mafyo njia panda,mangalanyene,madilu,lugalawa:)igomelo
  3. IJIGHA NDIO HOME

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    hi thread ni kusikitisha lakn chakushangaza naona kuna emoj za kucheka
  4. IJIGHA NDIO HOME

    Mchuano Mkali wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Kati ya Jakaya Kikwete vs Raila Odinga

    kwa bifu iliopo baina ya raila na ruto sitegemei ruto akimsapoti mzee odinga pia umzi umemtupa apumzike 2
  5. IJIGHA NDIO HOME

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    da huu uzi haufai yan ni uzi wa kipuuzi wanaume upuuzen huu uzi
  6. IJIGHA NDIO HOME

    TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    putin ni pacha wa kiongoz wa korea kaskazn nae kafagia wapinzan wake wote
  7. IJIGHA NDIO HOME

    Kwanini wanaotoa ushuhuda makanisani huwa hawachukuliwi hatua za kisheria?

    mtu anasema alikua anapenda kulala na wake za watu anawataja ad kwa majina
  8. IJIGHA NDIO HOME

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    kuna mmoja humu alianzisha uzi kua anaiomba serikali iwatambue kama wao ni kabila huru wasitambuliwe kama n wahaya nashukuru memba humu nao walimpinga vikali
  9. IJIGHA NDIO HOME

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    kwann msaidizi wa bimkubwa alipoteuliwa chama tawara burundi kilimpongeza sana? na inasemekana anaongea kirundi na kinyarwanda nimemaliza mm
  10. IJIGHA NDIO HOME

    Tangu lini mwanaume anazaa! Mwanaume hazai anazalisha

    wanaozalisha ni manesi na madaktari
  11. IJIGHA NDIO HOME

    Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

    nyie wawili mlokoment hapo juu ni wajinga namba moja yan mambumbu kiufupi
  12. IJIGHA NDIO HOME

    Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    kunasiku nilipomaliza chuo(unesi) nilienda kufanya kazi ya kuchuma chai pale njombe(luponde) sasa kuna kiongozi mmoja alikua ananinyanyasa sana kosa dogo tu ananikata kilo za chai sasa nilipomaliza mkataba nikawa najitolea hospitali moja bwana we kuna siku nilikua nagawa dawa za kufubaza nakaona...
Back
Top Bottom