Wakuu wa tech naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata drivers za cm hii ya Vodafone Smart mini please anisaidie maana nimejaribu kuzidownload wapi..naimba msaada
Nina mtaji wa pesa kiasi kadhaa na niko huku mkoani Kagera, Natafuta mtu anayeweza kupata kwa urahisi vifaa vya electronics used au mpya km vile simu,Laptops,Lcds nk nahitaji mtu huyo tuweze kufanya biashara ya kutumiana pesa na mzigo..Awe tiari kufanya katika bei iliyo atleast ili tupate faida...
Wadau nimetafuta ajira imekuwa ngumu ila nimepata mchongo wa kupata kiasi cha mil.4,Niajiendeleza na masomo ya mambo ya IT na ninataka kufanya biashara hiyo hiyo inayohusiana na mambo ya Computer je hiyo biashara inalipa na je naweza kuifanya vipi na vipi mtaji wangu unatosha? Naomba ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.