Search results

  1. I

    The following applicants will apply directly to our university

    Nataka kusoma hiyo cert af nijoin degree nina dss form six vp naweza join chuo?
  2. I

    Vodafone smart mini Drivers

    Wakuu wa tech naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata drivers za cm hii ya Vodafone Smart mini please anisaidie maana nimejaribu kuzidownload wapi..naimba msaada
  3. I

    ROOTING TECNO and other mobiles

    Mkuu nimekutana na tatizo cm yangu haina drivers yan nime google drivers wapi, Cm yangu ni Vodafone smart mini.....nifaneje?
  4. I

    Lenovo vodafone smart tab 10inches inauzwa bei poa

    Niko bkb vo twaweza wasiliana vp
  5. I

    Biashara

    Sio kila mtu humu ni mwizi aliye serious ani pm cm yake au email adress
  6. I

    Biashara

    Nina mtaji wa pesa kiasi kadhaa na niko huku mkoani Kagera, Natafuta mtu anayeweza kupata kwa urahisi vifaa vya electronics used au mpya km vile simu,Laptops,Lcds nk nahitaji mtu huyo tuweze kufanya biashara ya kutumiana pesa na mzigo..Awe tiari kufanya katika bei iliyo atleast ili tupate faida...
  7. I

    Niliupenda ualimu ila kunipanga serengeti ujasiliamali umenipenda zaidi;

    Nyie ndo mlikuwa mnishinda humu mntuachamia eti post lini? Leo mnnnza kujishaua
  8. I

    Natafuta Kazi Yeyote

    Aisee ndg yangu tuko wengi wenye matatizo ila jipe moyo nasi siku yetu ipo
  9. I

    Ushauri wa kisheria

    Ifanye awe analeta kwa wiki
  10. I

    Mtaji wa Mil.4

    Nimekuelewa ndg ni mawazo mazuri
  11. I

    Mtaji wa Mil.4

    Hiyo sio ada Mzee ni hela nyingine tofauti
  12. I

    Mtaji wa Mil.4

    Wadau nimetafuta ajira imekuwa ngumu ila nimepata mchongo wa kupata kiasi cha mil.4,Niajiendeleza na masomo ya mambo ya IT na ninataka kufanya biashara hiyo hiyo inayohusiana na mambo ya Computer je hiyo biashara inalipa na je naweza kuifanya vipi na vipi mtaji wangu unatosha? Naomba ushauri...
  13. I

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Kaka naomba uni PM email yako na phone no kama hatojali
  14. I

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Na je unaweza kununua mzigo na ukaupiga kwenye begi na ukaja nao?
  15. I

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Hiyo $800 ni kwenda na kurudi au vp
  16. I

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Naomba kujua nauli ya kwenda na kurudi Dubai na je kule ni kweli bidhaa za electronics zinapatikana kwa bei rahisi kidogo ukilinganisha na huku kwetu?:shock:
  17. I

    Ushauri wako ni muhimu sana hapa...

    Asante ndg Lin je humo nitatoa maisha?
  18. I

    Ushauri wako ni muhimu sana hapa...

    Natumai mko salama wapendwa katika Bwana na mnaendelea vyema na shugHuli zenu za kila siku na ujenzi wa taifa hili. Nimehitimu stashahada ya ualimu katika chuo kimoja hapa nchini,kwa bahati mbaya nilifeli vipindi viwili yaani Curriculum na PE (Phsical Education) hivyo sikuweza kuajiriwa ingawa...
Back
Top Bottom