Recent content by Humilis

  1. Humilis

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Wasiwasi Hofu Mashaka Msongo wa mawazo. Baadae nilikuja kukubaliana na uhalisia.Mtoto anatimiza 6 years soon. Ana akili,mwelevu,mtiifu,ana uwezo mkubwa sana wa kuhoji.I'm very proud. Kwetu wanaume,haijalishi uko na mazingira gani,usije kataa mtoto,usije telekeza mtoto,usije kubali mwanao aishi...
  2. Humilis

    He is always calm and incredibly kind avoiding conflicts be careful

    Jazia uzi...Nini kimetokea? Kwa nini tukae nao mbali? Wana shida gani?
  3. Humilis

    Anawezaje kupata Chuo?

    1.Kwa kozi atakayochaguliwa ajitahidi awe mzuri sana sio kwenye mitihani tu lakini tu hata kiutendaji mfano kupresent kazi za darasani na kama kozi zina practical awe mzuri zaidi na huko. 2.Awe mwepesi kushirikiana na wengine academically,kwa anachojua awe mwepesi kuwashirikisha wenzake na...
  4. Humilis

    Anawezaje kupata Chuo?

    Amechaguliwa chuo gani,kozi gani?
  5. Humilis

    Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    Safi sana mkuu,hicho unachofanya unawaandaa waje pia kuwa wazazi bora sana badae,maana wanasema mtoto anajifunza zaidi kwa kile anachoona unafanya kuliko kile unachomwambia.
  6. Humilis

    Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    Kwanza hongera kwa kuwa karibu na familia,na kuweza kujenga upendo na ushirikiano na mkeo katika kuhudumia watoto. Kama itakupendeza,waanze pia kufundisha kujifanyia vitu wao wenyewe,kama kuvaa,kuchana nywele,kupaka mafuta,hata kuoga,itawajenga zaidi.Kuliko kuwafanyia kila kitu. Japo ni kama...
  7. Humilis

    Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

    'Umwe' ina maana yoyote kinyakyusa?
  8. Humilis

    Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

    Angalau umeeleza ukweli...
  9. Humilis

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Jamaa yako ashukuru sana kwa hilo.Akamilishe hilo suala la kuripoti sehemu husika,asitishe pesa iliyokuwa inaenda kwa mwanamke na pango na kila kitu na hizo nguvu azitumie kwenye kulea hao watoto. Kwa aina hiyo ya mwanamke,hao watoto wangeishia kuteseka tu na kupata malezi ya ovyo.Ni kama...
  10. Humilis

    Nmepata kazi nyingine, mshahara mdogo. Nipeni ushauri jinsi ya kuadjust lifestyle

    Ushauri utapata,but deep down inside wewe ndiye unayejua ulikua unaishije na namna gani lifestyle yako ilikugharimu kukuleta hapa ulipo. Kama unajua wapi ulikosea ni wewe mwenyewe ndiye unayeweza kubadili ili usiyarudie yale uliyopitia.Ushauri unaweza kukusaidia kwa may be 20% but kwa 80% ni...
  11. Humilis

    Loving you Mahondaw

    Then umeamua kuishi kwa kuteseka maisha yako yote au mpaka utakapoamua kubadili mtazamo.
  12. Humilis

    Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

    Najua hujakurupuka na UNAJUA ulichoandika. Lakini kama umeoa au umewahi kuoa na kuacha au kuachwa labda uzi wako ungekua tofauti. Kuna watu wameoa katika mazingira hayo juu(mengi sio yote) na wanaishi vizuri miaka mingi tu.
  13. Humilis

    Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

    Umeoa mkuu?au ushawahi kuoa na kuacha/kuachwa?
Back
Top Bottom