Utakuwa na zali kama mwanangu fulani mbura... Alimaliza chuo akawekwa wizara, ulevi na kutoenda kazin ukamfukuzisha kazi, akapelekwa BOA bank ulevi na utoro plus siku kamtukana boss wake mbele ya watu akiwa amelewa bado hakufukizwa, baadaye akapga akafukuzwa, akapelekwa Tanapa, ulevi na utoro akafukuzwa.Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.
Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa nishazoea kuspend at least mil5 kwa mwezi kama matumizi ...ulitabidi nijiadjust.
Naombeni round hii wanaJf msinibanie, mdogo wenu mnihurumie mnipe maushauri ya maana.
Naombeni mipango Nifanyeje ili nisije kurudi Tena kwenye umasikini?
Sasa yapata mwaka wa 4 maisha yameenda kombo karudi bush.
Sema jamaa alikuwa na zali kama wewe yani huchelewi unadaka mchongo