Yaani unasema ulaya itamezwa na majeshi ya russia ndani ya wiki tu utafkiri ulaya ni africa. Unajua kama uingereza, Germany, france, zote ziko ulaya? Russia hawezi kushinda vita dhidi ya umoja wa ulaya hata bila msaada wa marekani.
Sasa kama geresha kwanini wasimtoe tu nchi isiwe na raisi? Hawa wametenganisha nafasi za head of state(raisi) na head of government (Chancellor au waziri mkuu) ndo maana merkel anaweza kugombea hata mara 10. Uingereza, japan, Israel na nchi nyingi ziko hivi. Waziri mkuu anaruhusiwa kugombea...
Raisi wa ujerumani ana term limit kugombea mwisho mara mbili. Huyu merkel sio raisi ni kiongozi wa bunge au Chancellor hata akigombea mihula 10 haina shida. Nyie mnaotaka kuiga mifumo ya wazungu na wachina ipo siku atatokea raisi mbovu ambae hamumtaki lakini kumtoa hamwezi. Ujermani wanaijua...
Cha Muhimu ni kuwa Waziri mkuu amechaguliwa na wananchi haijalishi anaomba ruksa kwa nani. Malkia ni head of state, sio kiongozi wa wananchi ni mwakilishi wa wananchi
Hakuna rafiki ila bora marekani wanatupa misaada kwa masharti mfano kuheshimu haki za binadamu na demokrasia hivi ni vitu vizuri kwa mwafrica. Wachina wanaangalia maslahi yao tu. Nyie hata mpigane vita au raisi akae madarakani miaka 50 shauri yenu ili mradi china ipate inachotaka. Ndo mana...
Air Force says Russia made up an incident over Syria between an F-22 and an Su-35 in response to a critical NYT story
Hiyo story ya uongo uliotungwa na urusi hakuna ushahidi wowote. link yako yenyewe ulioweka inasema "Many things are yet to be explained making the story really hard to believe".
Wavulana pia wanatekwa mkuu tena wanatekwa wengi kuliko wasichana. Wanaenda kufanyishwa mazoezi na kuwa wapiganaji ila media zinatangaza zaida habari za kutekwa kwa wasichana.
Republicans hawataki kabisa kushindwa kwenye swala la udhibiti wa silaha. Wako tayari kuzigeuza shule kuwa kama kambi za jeshi ili mradi wao waendelee kumiliki silaha
Iranian foreign minister: Israel's 'myth of invincibility' has crumbled
Wazir wa mambo ya nje wa iran amejibu. Kiufupi anasema israel walizoea kuingiza ndege zao kwenye anga la syria bila tatizo na hawakutegemea kama syria wataidungua ila sasa mambo yamebadilika ndo mana netanyahu anatokwa na povu.
Neymar utoto mwingi ila uwezo anao na alicheza vizuri tu.. tatizo Mbappe ana chenga za kubahatisha na cavani lazima akose goli 4 ndo afunge 1. Hawa wawili ndo wanamuangusha neymar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.