Recent content by Gwaks makono

  1. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    kwani kuna fundi wa simu kweli????
  2. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    nai delete vipi hiyo program
  3. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    Mdau charge inaweza kuisha bila kuwa unatumia simu aidha kusikiliza music au kuchat mfano naicharge inakuwa full hadi ninapolala naichomoa then asubuhi nakuta imebaki ba moja...inaweza kuwatatizo la charge kweli??????
  4. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    vipi mkuu kwa hiyo hapo inatakiwa nifanyaje!!!!!!
  5. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    mkuu cijakupata sorry mkuu nipe
  6. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    hapana mkuu hii application imekuja na simu nina miezi sita toka nianze kuitumia lakini hili tatizo limeanza kama wiki 3 zilizopita!!!
  7. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    Simu yangu katika siku za karibuni imekuwa na tatizo la betri kuisha haraka bila kuitumia nikaja kugundua kuna program (MUSIC) ina update playlist naombeni msaadajinsi ya ku close nitashukuru sana kwa msaada!!!
  8. G

    Balozi wa Tanzania nchini malawi akana kufukuzwa!!!

    Balozi wa Tanzania amekana taarifa zilizosambaa kwamba kapewa masaa 48 kwamba anatakiwa aondoke nchini kwao kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu Balozi PATRICK TSERE amekanusha uvumi huo.
  9. G

    Jinsi ya kusave video downloaded from internet

    jamani naombeni msaada wa kusave videos mabzo umeidownload katika website mbalimbali manake naishia kuangalia tu lakini nikitaka kusave nashindwa msaada pliz mwenye kufahamu shukrani mbele..................
  10. G

    Kwa usaliti huu ntajifikiria sana

    jamani mimi narudia tena nilikuwa sifahamu kama ni mke wa mtu na nilijilaumu sana kwa hilo nililofanya all in all tukubali USALITI katika NDOA kwa sasa ni mkubwa sana jamani mara ngapi tunashuhudia makanisani,makazini, na sehemu kadha wa kadha hii kitu lazima tukubali usaliti katika ndoa upo...
  11. G

    Kwa usaliti huu ntajifikiria sana

    MODS HAYA YOTE MNAYAVUMILIA:lol:!!!njoo kwa hoja mara ya kwanza sikuwa nikiffahamu kama ni mke wa mtu
  12. G

    Kwa usaliti huu ntajifikiria sana

    kwa kweli frankly speaking sikuwa nafahamu kama ni mke wa mtu hadi tulipokuwa chumbani na kupigiwa simu na huyo bwana ake sasa kutokana na maongezi waliyokuwa wanaongea ndio nikagundua ni mke wa mtu na baada yakumuuliza alikiri
  13. G

    Kwa usaliti huu ntajifikiria sana

    WADAU siku ya jana nilikuwa na demu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu ila huyo jamaa akealisafiri sasa kuna muda jamaa ake akampigia simu yule demu duh jamaa alivyodanganywa ni noma aisee imeniogopesha sana na kunifanya nijifikirie mara mbilimbili kuoa ama kutooa kumbe kwenyendoa ndo kupo hivi
  14. G

    Breaking news: Tetesi yanga yamtimua kocha mkuu wake

    habari ambazo bado hazijadhibitishwa rasmi na uongozi wa yanga africans ni kuwa kocha mkuu wa timu hiyo TOM SANTIEF nae pia ametimuliwa baada ya kuwasimamisha kazi secretariet nzima ya timu hiyo.
Back
Top Bottom