Recent content by Fruit

  1. F

    UDSM waita kwenye usaili

    Habari wapendwa, Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016. Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
  2. F

    Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    Magogoni hiyo hiyo ya anko mtumbaji, opp na OWM nyuma ya Wizara ya ardhi. ni Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania ambacho kina Matawi Tabora, Tanga, Singia, Mbeya, Mtwara na hapa Dar, kozi zinazotolewa ni Secretarial Studies Cert&Dip, Records Mngt Cert&Dip, Accounts, HR, Librarian na nyingine...
  3. F

    Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    Mkuu nina uhakika 100% hiyo kozi magogoni ipo sio kwa kuambiwa na huyo Lulu nimemwona kwa macho yangu sasa wewe sijui nani kakambia hiyo kozi haipo. tafuta namba za chuo piga halafu uulize, labda ifutwe kesho
  4. F

    Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    huyo aliyesema anasomea Human Resource yawezekana yuko sahihi maana alikuwa anasoma foundation ya HR pala TPSC- Magogoni
  5. F

    Muda wa kutuma maombi NACTE huwa ni upi?

    watafungua system yakitoka matokeo ya kidato cha sita
  6. F

    Natafuta mtu(Personal Secretary) aliyeajiriwa na Utumishi wa kubadilishana kituo cha kazi

    inaelekea hujanielewa kabisa lakini mimi naona nimeeleweka kwa kusema aliye tayari aje inbox ndiko tutapeana full details. sasa nimepata ma PS 4 inbox na mchakato itaanza next week
  7. F

    Natafuta mtu(Personal Secretary) aliyeajiriwa na Utumishi wa kubadilishana kituo cha kazi

    Habari wapendwa, Mimi ni Personal Secretary nimeajiriwa na utumishi nafanyia kazi Mbeya mjini, lakini mume wangu anaishi na kufanya kazi Dar. Natafuta mtu wa kubadilishana naye yeye atoke Dar aje Mbeya na awe ameajiriwa na utumishi, kwa aliyetayari naomba aje inbox
  8. F

    Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    Duuu mafuriko hayooo
  9. F

    Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    matumaini wapeleke ANGAZA
  10. F

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Umeonaeeeee, watu wasicheze na KIJANI watanaswa
  11. F

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Eti kuelekea shimoni nani kakuambia? aibu yenu yaja Oct. CCM Mbele kwa mbele na rudia tena mbele kwa mbele nasema tena mbele kwa mbele daima nyuma mwiko, namalizia mbele kwa mbele kuelekea IKULU, hapa KAZI TU MAJUNGU PELEKA UKAWA, Hapa KAZI tu MATUMAINI PELEKA ANGAZA
  12. F

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Kumbe unasikia nilifikir ulikuwepo eneo la tukio usipende kushuhudia habari za kusikia mwisho leo kuleta uongo jukwaa hili, CCM mbele kwa mbele!
  13. F

    Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    Jamani leteni habari kamili mbona nusu nusu mi sijaelewa imekuwaje?
  14. F

    Walimu wa shule ya msingi Mtwara wanaswa kichakani

    Hivi we mleta mada akili zako zimetulia kweli huna hata haya kuandika uongo na kuwadhalilisha walimu wamekukosea nini? hii video ilishasambaa sana mwaka jana sasa wewe leo umetumiwa kwenye ki WhasApp chako ndo unaileta humu. kuwa mstaarabu acha kuandika vitu vya kusimuliwa jamii forum haitumiki...
Back
Top Bottom