Search results

  1. F

    UDSM waita kwenye usaili

    Habari wapendwa, Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016. Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
  2. F

    Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    Magogoni hiyo hiyo ya anko mtumbaji, opp na OWM nyuma ya Wizara ya ardhi. ni Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania ambacho kina Matawi Tabora, Tanga, Singia, Mbeya, Mtwara na hapa Dar, kozi zinazotolewa ni Secretarial Studies Cert&Dip, Records Mngt Cert&Dip, Accounts, HR, Librarian na nyingine...
  3. F

    Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    Mkuu nina uhakika 100% hiyo kozi magogoni ipo sio kwa kuambiwa na huyo Lulu nimemwona kwa macho yangu sasa wewe sijui nani kakambia hiyo kozi haipo. tafuta namba za chuo piga halafu uulize, labda ifutwe kesho
  4. F

    Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    huyo aliyesema anasomea Human Resource yawezekana yuko sahihi maana alikuwa anasoma foundation ya HR pala TPSC- Magogoni
  5. F

    Muda wa kutuma maombi NACTE huwa ni upi?

    watafungua system yakitoka matokeo ya kidato cha sita
  6. F

    Natafuta mtu(Personal Secretary) aliyeajiriwa na Utumishi wa kubadilishana kituo cha kazi

    inaelekea hujanielewa kabisa lakini mimi naona nimeeleweka kwa kusema aliye tayari aje inbox ndiko tutapeana full details. sasa nimepata ma PS 4 inbox na mchakato itaanza next week
  7. F

    Natafuta mtu(Personal Secretary) aliyeajiriwa na Utumishi wa kubadilishana kituo cha kazi

    Habari wapendwa, Mimi ni Personal Secretary nimeajiriwa na utumishi nafanyia kazi Mbeya mjini, lakini mume wangu anaishi na kufanya kazi Dar. Natafuta mtu wa kubadilishana naye yeye atoke Dar aje Mbeya na awe ameajiriwa na utumishi, kwa aliyetayari naomba aje inbox
  8. F

    Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    Duuu mafuriko hayooo
  9. F

    Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    matumaini wapeleke ANGAZA
  10. F

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Umeonaeeeee, watu wasicheze na KIJANI watanaswa
  11. F

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Eti kuelekea shimoni nani kakuambia? aibu yenu yaja Oct. CCM Mbele kwa mbele na rudia tena mbele kwa mbele nasema tena mbele kwa mbele daima nyuma mwiko, namalizia mbele kwa mbele kuelekea IKULU, hapa KAZI TU MAJUNGU PELEKA UKAWA, Hapa KAZI tu MATUMAINI PELEKA ANGAZA
  12. F

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Kumbe unasikia nilifikir ulikuwepo eneo la tukio usipende kushuhudia habari za kusikia mwisho leo kuleta uongo jukwaa hili, CCM mbele kwa mbele!
  13. F

    Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    Jamani leteni habari kamili mbona nusu nusu mi sijaelewa imekuwaje?
  14. F

    Walimu wa shule ya msingi Mtwara wanaswa kichakani

    Hivi we mleta mada akili zako zimetulia kweli huna hata haya kuandika uongo na kuwadhalilisha walimu wamekukosea nini? hii video ilishasambaa sana mwaka jana sasa wewe leo umetumiwa kwenye ki WhasApp chako ndo unaileta humu. kuwa mstaarabu acha kuandika vitu vya kusimuliwa jamii forum haitumiki...
  15. F

    Ninani kawaloga wabunge wa mkoa wa Ruvuma?

    Wandendeule wenzangu wa Namtumbo hawajui upinzani ni nini! wao wanajua chama ni hicho chenye kijani tu, wakipewa vitambaa vya kichwani na khanga za kuendea shamba ndio washachanganyikiwa hawaelewi, hawasikii, Ila kwa mkoa mzima wa Ruvuma wapinzani wakitaka washinde wasimamishe mgombea mmoja hapo...
  16. F

    Pinda, Werema waomba kujiuzulu. JK kuamua hatima saa moja usiku leo

    yaani hao ni wanafiki wakubwa kwani kujiuzuru mtu si unatangaza tu najiuzuru kwani lazima wamwandikie barua Rais hawataki kujiuzuru wala nini wanajishauwa tu wanataka Rais aseme msijiuzuru ili wapate chakusema, (Rais kaema tusijiuzuru) kama kweli wana nia ya kujiuzuru waige mfano wa Lowassa wala...
  17. F

    Dagaa Nyasa wanauzwaje huko kwenu?

    Hawa Dagaa kama huwezi kuwapika utawachukia sana lakini ukiweza kuwapika maisha ni murua hawapikwi kama dagaa wengine wenyeji wa mkoa wa Ruvuma wanalijua hilo, lazima uwaloweke na walowane sana kama umechelewa kuwaloweka wachemshe hadi walinike, (na ukiwa unawaloweka weka na chumvi kabisa)...
  18. F

    Hashim Lundenga hana credibility ya kuendelea kusimamia kamati ya miss Tanzania

    Hivi kweli Lundenga hana mshipa wa aibu kabisa we mikelele yote hiyo mbona inaleta aibu na kero! hivi sijui naye anapita humu! sijui jamii inayomzunguka ina mfikiriaje yaani sipati picha na alivyokosa sura kama yangu, mwe Singidaaa(ni shidaaa)
  19. F

    Nimempata mwizi wangu, Tahadhari kwako mwanaJF na ndugu yako - Kariakoo

    Usimwite boya jamani kuibiwa hakuna uboya, wasalimie Rwinga, Minazini na Lusent
Back
Top Bottom