Recent content by dreamchaser18

  1. dreamchaser18

    Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Ukifanikiwa hapa nijuze Solution
  2. dreamchaser18

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    Moja ya Uzi muhimu sana JF baada ya kusoma nimeanza HTML.....naamini kila mtu mwenye nia anaweza kuwa kama akitia bidii
  3. dreamchaser18

    Window mbadala wa XP?

    MREJESHO.....Shukurani chief nilifanikiwa kuupgrade ram nilapa Ddr 2 2GB saizi nimepiga window 10 inarun vzur..na program zilikowa zinagoma kwenye XP saizi naenjoy
  4. dreamchaser18

    Window mbadala wa XP?

    Shukurani sana chief
  5. dreamchaser18

    Window mbadala wa XP?

    T2300 @ 1.66GHz 1.66GHz. 0.99 of ram. Kuhusu ram ya 2GB inapatikanaje
  6. dreamchaser18

    Window mbadala wa XP?

    Nashukuru kwa majibu .....processor ni 1.66GHz Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  7. dreamchaser18

    Window mbadala wa XP?

    Habari wakuu naomba kuuliza window gani itafaa kwenye PC yenye RAM 1GB mbali na XP? na inawezekana kudownload window from net?
  8. dreamchaser18

    Wito kwa Mh Sugu: Barabara mbovu Mbeya

    Kasome kibao cha mkandarasi pale MBEMBELA ujue itaisha lini
  9. dreamchaser18

    Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

    Wapenzi wa WWE tuendeleane kupeana updates zote za raw, smackdown na PPV zote...kwenye RAW wiki hii kutakuwa na wwe superstar shakeup
  10. dreamchaser18

    Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

    Kumbe kuna maraia wengi bado wanapenda hii kitu WWE ni kama soka vizazi vinabadilika.... Angalia NXT na WWE 2O5 kuna vipaji vinakuja hata wakina ROMAN REIGN watapotea
  11. dreamchaser18

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Usikate tamaa wewe ndo mwenye story endelea kuanda post kutokana na ratiba yako #asikupangie
  12. dreamchaser18

    Hamorapa sasa kamaliza kila kitu, ngoma yake hii si ya nchi hii

    Hivi wabongo hatuwezi kuwa na msanii zaidi ya mmoja juu mpaka tuwaringanishe baada ya kumshindanisha diamond na darasa saizi tumeamia kwa hamorapa....tuache utimu usiku na faida tunapowashindanisha wasanii wetu lazima tunampoteza mmoja... MUZIKI UWANJA MPANA KILA MTU ANAWEZA FANYA SEHEMU YAKE
  13. dreamchaser18

    Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

    Wewe nunua kontena zima kawagawie ukoo wake na majini wote.....alafu ukimaliza kunywa maji yanapunguza stress
  14. dreamchaser18

    Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

    Watu wengi humu wataendelea kukesha na kudiss vya watu wakati wenzao wanafanya na kuendelea mbele.....ROHO MBAYA HAIJENGI
Back
Top Bottom