Recent content by dong yi

  1. dong yi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mtamaliza na -ve GD kenge nyie
  2. dong yi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    utd wanatia huruma aiseee...
  3. dong yi

    Joyce Banda not coming to Malawi anytime soon – Spokesman

    hiki kituko chetu na chenyewe sijui itakuaje.............
  4. dong yi

    Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

    hio jezi mpk inafika bongo bei yake haizidi 10k,..... majamaa yanapiga sana pesa! hizo za timu za ulaya na zenyewe bei haizidi humo, 10k
  5. dong yi

    Je, majukumu ya nafasi ya Waziri Mkuu yanapunguza nguvu ya nafasi ya Rais kiasi cha kusababisa msuguano baina ya nafasi hizo mbili?

    hii ni njia bora sana, na itatusaidia kusogeza nchi mbele! Raisi abaki na wizara ya ulinzi, na foreign affairs....... zingne ziwe chini ya PM,,,
  6. dong yi

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    hivi vijamaa havina uelewa wa mambo yanayoendelea hapa tanzania na afrika, alafu vinadhani vinaweza kuelewa yanayoendelea Ulaya na Geopolitics za dunia.......
  7. dong yi

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    acha utoto, umeomba kujua ikiwa katiba ya ukraine inatambua hilo la wao kujiunga nato, nimekupa! so far inaonekana uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo,
  8. dong yi

    Vifaru Abrams vya Marekani vyaondolewa vitani Ukraine baada ya kuchomwa mno na droni za Urusi

    yule generali aliyeondolewa alisema waziwazi vita imefikia kwenye stalemate (ikiwa na maana haiwezekani kubadili matokeo yaliyokwisha tokea),..... zele na washauru wake wakamwondoa! hata hizo silaha wanazoletewa hazitaleta mabadiliko makubwa, NATO watajaribu kuua wanajeshi wengi wa urusi, na...
  9. dong yi

    Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

    awamu ya kutakatisha pesa hii..... Amaan wamekarabati kwa bil 30, mkapa kwa bil 30, leo uhuru bil 20 huyu mama hata haoni aibu.....kwel bora unyimwe vyote sio akili
  10. dong yi

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    pro US hii habari imewaumiza sana mioyo! hio nchi haina demokrasia, uhuru wa habari wala free speach kama wanavyotuaminisha! ni nchi kama zilivyo nchi zingine,
Back
Top Bottom