Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,802
- 71,456
Hawana mpaka direct na Russia. Russia amekuwa ally mkubwa wa Bulgaria na Romani miaka nenda rudi na hawana uhasama wa kihivyo.Romania na Bulgaria ziko Black Sea na pia ni wanachama wa NATO.
Hivyo hao jamaa hawana uhasama na Russia kama allies wengine wa NATO.
Na Russia ana presence kubwa sana black sea hata kwenye territories za hizo nchi. Kiujumla black sea ipo controlled na Russia.