Kama ulienda hospital hukupewa ushauri huko kwani?.anyway..kama umegundulika una pressure ya juu(sijajua ilikuwa juu kias gan kutoka kiwango cha kawaida).ushauri ni kupunguza stress.kupunguza matumiz ya chumvi(muhimu sana )kutovuta sigara.kupunguza pombe..kufanya mazoez..kama pressure haiko juu...
Mimi mwenyew kuna mda mackio yalkuwa yanasumbua sana na kujaa wax,nlitumia sana hizo pamba plus boric acid lakn wapi..mpka cku prof wang alipotutolea mfano darasan kuwa "ng'ombe pia wanatoa wax lakin ushawah muona ng'ombe anachonoa maskio yake na pamba?"..tokea hapo nikaachana na pamba.mpka leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.