Recent content by Darlington sheby

  1. D

    brand new samsung electronics kwa bei nzuri

    Na sie wa magar o vyombo vya moto je?
  2. D

    JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

    naweza nikawa sifanyi kazi ila nikawa namchango mkubwa sana nchini kwangu na kujenga taifa langu vyema
  3. D

    Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

    kaka siku zote mliwa nae uliwa so kama upendi mke wako aliwe basi usipende kula wake za wenzako.ila ushauli wangu ni kuachana na mazoea na uyo mama mapema kabla ayajaibuku makubwa zaidi ya hayo na isitoshe mumeo aumjui.mjenge manzingira ya mumkwaza ili asiwe na hamu ya kukuona kabisa
  4. D

    LAPTOP Inaharibu MBEGU ZA KIUME(Proved!)

    kwaiyo ukiwa unaiweka tumbo yani ukilala chali je inamadhara bia?
  5. D

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    kero yangu ni iyo ya viongozi kusema kwamba ppf itoe mafao ndani ya miaka 55 ya mwajiri kustafu.asa ataitumiaje na vijana wengi wa sasa ni vigumu kufikia hiyo miaka na nibora wangekuwa wanatoa kutokana na mkataba kati ya mwajiriwa na mwajili wake kuisha ili aendelee kuifanyia matumizi wengine ya...
  6. D

    JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

    kuwa waongo kwa wabongo inatokana na wabongo wengi kuwa wavivu wa kufanya kazi ivyo wanakuwa waongo waweze kula
  7. D

    Kama siyo Lema awe nani?

    Kuingia kwa slaa bunge kwa kipindi hichi me siungi mkono.wanaweza kumuambukiza bure.chamsingi ni asubilie kuingia ikulu na sio bungeni
Back
Top Bottom