Recent content by Christinaa

  1. C

    I miss my ex man so much jamani

    Mmmh hii ni hatari
  2. C

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Asante kwa maneno yako mazuri na ya kutia moyo.... Be blessed!
  3. C

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Hahahaa jamani worry out ipo siku na wewe utachangamkiwa..... Mungu ni mwema naamini ataniongoza ktk uchaguzi
  4. C

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima. Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana. Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila...
  5. C

    My girl is better than yours

    Kabisaa muombeni tu Mungu awaepushe na mkono wa ibilisi
  6. C

    My girl is better than yours

    Mmmh sio wote ni wabaya jamani kwenye mazuri tusifie
  7. C

    My girl is better than yours

    Yalishapita ni matukio tu ya maisha sometimes hayana budi kutokea
Back
Top Bottom