Search results

  1. C

    I miss my ex man so much jamani

    Mmmh hii ni hatari
  2. C

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Asante kwa maneno yako mazuri na ya kutia moyo.... Be blessed!
  3. C

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Hahahaa jamani worry out ipo siku na wewe utachangamkiwa..... Mungu ni mwema naamini ataniongoza ktk uchaguzi
  4. C

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima. Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana. Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila...
  5. C

    My girl is better than yours

    Kabisaa muombeni tu Mungu awaepushe na mkono wa ibilisi
  6. C

    My girl is better than yours

    Mmmh sio wote ni wabaya jamani kwenye mazuri tusifie
  7. C

    My girl is better than yours

    Yalishapita ni matukio tu ya maisha sometimes hayana budi kutokea
  8. C

    My girl is better than yours

    Muoe kwanza unaanzaje kumpa ujauzito bila ndoa
  9. C

    My girl is better than yours

    Ni basi tu watu hatupendi kuongea ila yalikuta makubwa
  10. C

    My girl is better than yours

    Huu ndio ukweli na mimi yalinikuta hayo
  11. C

    My girl is better than yours

    Nilifanya hayo yote tena zaidi ya huyo wa kwako almost 10 years unamvulia mtu kwa kila hali ila siku tu alipopata kazi hakuna rangi niliacha kuisoma...... Muombe tu Mungu huyo awe kweli ni mke wako na wewe ni mume wake.... Pia usidharau wanawake wengine ni vile tu kila mtu hawezi elezea kilchomo...
  12. C

    Natamani kurudi kwa mpenzi wa zamani ila nilimuumiza sana

    Kisa chako kimenikumbusha mbali sana, my first guy aliniacha vibaya nikiwa first year tena katikati ya UE hapo yeye yupo kazini kakutana na warembo wa maofisini.... Sitasahau nilizimia kwenye mtihani nakulazwa juu ila nilijitahidi nikamsahau, sasa kilichomkuta tangia hapo aliishia kuzalisha...
Back
Top Bottom