Hii habari ilirushwa kwenye vyombo vya habari vya nchini Croatia anakoishi huyu dada. Na sasa mchakato unaendelea kubaini utapeli wake. ...je nikweli watanzania tuaendelea kufumbia macho mambo ya kudhalilishana na kutumiwa kama chambo?
kolajna ljubavi - YouTube
VIDEO: Revealing shocking stories about the Croatian orphanage in Africa:
"Children are living in a concentration camp without water and enough food``
One volunteer remembers horrible scene which she experienced at the orphanage and complained about it to the president of the orphanage. Ivana...
that is perfect, watu wakiwa madarakani bwana hawajali kabisa nafsi ya wanajamii ndio hawa akina Nkunda, na aende Haag huyo akakione hata kama malipo ya mauaji aliyo ya fanya kamwe hayalipiki, cha msingi yeye asiendelee kutanua na kujiona Generali mbabe wakati amesababisha vifo vya maelfu ya...
Naukumbuka sana wimbo wa Justine Kalikawe uanzao na maneno, Sote ni ndugu, sisi sote ni ndugunk, ni muda mrefu sasa najaribu kujifunza maneno lakini sijayapata kwa hukakika kama kuna yeyote aujuaye, tafadhali msaada!! natanguliza shukrani zangu...
rafiki, tunalingana sana kwa vionjo vya nyimbo, huu ni wimbo wangu pekee ambao huwa na uimba kama sala ya jioni. I dedicate this song to all those who ever got to know me!!!
bila shaka anakuwa mkali kwa sababu anatamani kitu nawe haumpi hivi mwasho unamnyima raha, ndio maana umekuwa mume wake ili umfae wakati wa tabu na raha hizi ndio zile nyakati za tabu kwa mke wako, mfariji kwa kumpa haki yake...
wapenzii, naomba ushauri wenu. Nilifahamiana na dada x nilipokuw alikizoni tena ilikuwa kwa bahati tu, tukaachiana namba na kumbe kwa vile wote tulikuwa likizoni hatukuweza kukutana so kila moja akaendelea na safari yake. Tukawa na uhusiano mzuri wa kwa njia ya email na hivi pole pole kuanza...
Ndugu yangu, hali hiyo kwangu tayariinafahamiak kwani nami pia some times huwa sipokei simu...lakini kwangu mara nyingi inatokea kama na fahamu issue ni nini na sina hoja za kuwwwweza kumlidhisha mtu, so kwa upande wako nadhani kasumba hiyo ni ya kawa kwa wanaume, wanaphichology wanasemaga kuwa...
Rafiki, unapoongelea kuoa inamaana kuwa unataka kufanya hatua muhimu katiak maisha, kwa hilo unahitaji kutanya tafakali na kuamua kwa dhati. Mambo ya kupenda au kupendwa ni kawaida, na ni ubinadamu, lakini kujiingiza katika mapenzi au siyo ni busara, kwa maoni yangu, fanya tafakali na uone nani...
wazee nawashukuruni sana kwa ushauri, ama kweli inaonyesha umuhimu wa kuwa mwanajamii,asanteni sana ndugu zangu, nitaufuata ushauri wenu wa kindugu kweli mlionitumia. Mungu awarudishie mara dufu na tuzidi kufaana katika jamii forum, ndugu yenu, camfu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.