Recent content by c4rl05

  1. c4rl05

    Ipi ni Shule nzuri za wasichana Mbeya au Iringa ?

    Hii ipo maeneo gani miuu kama nataka kwenda kuchukua fomu
  2. c4rl05

    Ipi ni Shule nzuri za wasichana Mbeya au Iringa ?

    Mkuu unaweza nielekeza vizuri hii shule ilipo kama nataka kwenda chukua fomu
  3. c4rl05

    Ipi ni Shule nzuri za wasichana Mbeya au Iringa ?

    Ana uwezo wa wastani, st. Francis competition ni kubwa
  4. c4rl05

    Ipi ni Shule nzuri za wasichana Mbeya au Iringa ?

    Amemaliza darasa la saba mkuu
  5. c4rl05

    Ipi ni Shule nzuri za wasichana Mbeya au Iringa ?

    Wadau naomba mnisaidie majina ya shule nzuri za girls kwenye hyo mikoa tajwa hapo juu, nina mwanangu nataka nimepeleke moja ya hyo mikoa kwa in urahisi wa maisha ya familia
  6. c4rl05

    kulikoni KickassTorrents ?

    mbona iko bomba tu mkuu, itakuwa tu mtandao kwako unazingua
  7. c4rl05

    Asu - Abdul Misambano

    Mkuu nimesechi kwenye hii site huo wimbo haupo,
  8. c4rl05

    Asu - Abdul Misambano

    mkuu nimeshindwa kudownload from this site can you help me with another link
  9. c4rl05

    Maxpyne 3

    nitafurahi mkuu vigezo hivyo kwangu sio shida nimeshavikizi siku nyingi ndo mana naomba unipatie hiyo image na mm niweze kujivinjari mkuu,
  10. c4rl05

    Maxpyne 3

    mkuu naomba uni-pm ka vp ili nijue unapatikana wapi nd utanisaidiaje
  11. c4rl05

    Maxpyne 3

    mi napatikana pande za mabibo, we unapatikana pande zipi au ka vp ni pm nijue unanisaidiaje
  12. c4rl05

    Asu - Abdul Misambano

    dude you can upload it to sharing sites afu ukatupa link yake tudownload,
  13. c4rl05

    Maxpyne 3

    NAH, mi ndo natafuta hiyo maxpyne 3 for pc mwenye nayo anisaidie
  14. c4rl05

    msaada UBUNTU

    Just delete ur partion tablr nd make a new one,
  15. c4rl05

    Idm!!

    Go to kat.ph kuna latest build 6.1.5, ts working
Back
Top Bottom