Recent content by bysange

  1. bysange

    Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Namba 1,2 na 3 daaaah zimemaliza sana shilingi zangu...namba 9 sikuwa wa kiivile sana ila mara moja moja sana
  2. bysange

    Njombe: Amuua Mama yake mzazi na kisha Kumbaka

    Daaah vijana wanawehuka mapema sana,kuna aina fulani ya maisha huwa wanailazimisha halafu aina hiyo huwalazimisha wao iwafuate,mwisho wa siku wehu wanakuwa wengi mitaani na madhara kama haya kwa familia hujitokeza.
  3. bysange

    Kigogo wa Benki ya NMB Arusha, mbaroni kwa kulawiti mwanafunzi na kumweka kinyumba, alikuwa akilipa fadhila ya kumsomesha

    Hali si shwari kabisa,ni mwendo wa kupasuana na kutoana ngeu tu...Mungu atunusuru
  4. bysange

    DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

    Nimpe pole aliyepatwa na mkasa huu,iwe funzo pia kwetu kuwa hata kama hatutoi basi walau kwa mwezi uwe unaangalia kasalio ili kujiridhisha na 'wadukuaji' kama hao. NMB inabidi wawe wakali kwa wafanyakazi wao vinginevyo hii itawapunguzia kuaminiwa.
  5. bysange

    Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

    Daaa msiba mzito sana huo,hizi safari za usiku tuwe nazo makini sana kwa kweli
  6. bysange

    Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

    Umemaliza utata mkuu,huko kwingine ni basi tu ni upungufu wa vitamini mifukoni
  7. bysange

    Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

    Kuna jamaa yangu ana ist nilimuomba nienda sehumu fulani hivi Jumapili iliyopita kukiwasha nikaona steering ina vaibreti nikaenda nako kiugumu baada ya kilomita kadhaa kakawasha taa ya check injini kurudi pia ikawa hivyohivyo,nikamtonya akasema na mimi huwa inakuwa hivyohivyo kifupi nilimshauri...
  8. bysange

    Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Haswa haswa upate ule mlingoti unaoitwa gamzi daaa ni chuma balaaa
  9. bysange

    Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    Nakoleza wino kabisaaaa,kuna fundi nilitamani kama kupiga walahi tena daaa,makadirio tulifanya wote na sehemu nyingine nikashauri tuongeze kilichotokea mbele ya safari...Mungu anajua aiseee
  10. bysange

    ALPHARD AU BREVIS MSAADA TAFADHALI.

    Cc2996 daaah hatari sana ukinogewa tu... Japo hapo mwishoni umenilima maksi😂😂 ila mwanga umenipa,be blessed
Back
Top Bottom