Recent content by bushman

  1. bushman

    Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

    Kazi yetu ni kuzindua sauala la route halituhusu ni kuzindua kwenda mbele tu.
  2. bushman

    Wazee wa CCM kupeleka malalamiko ya Kinana na Makamba ngazi ya juu kabisa ya chama sio sahihi

    swali Cyprian Musiba ni mwanachama wa ccm?Ukijibu tuanze hapa
  3. bushman

    Press conference za Kina Paul Makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa

    Kwa hiyo sio sahihi hawa wazee kutumia mlengo wa chama kuzuia Musiba kuendelea na hizo unazoita scraps?Je Musiba mwanaccm?
  4. bushman

    Press conference za Kina Paul Makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa

    Habari wakuuu, Nimesikiliza kwa makini sana uchambuzi wa Ndugu Hussein Bashe,Nakubaliana nae baadhi ya issues nyingi ambazo yeye anaziita key issues zinazotokana na barua ya ndugu Kinana na Makamba.Moja ya issue ambayo nauungana nae ni utamaduni wa watu kuuitisha pressconference kutukana na...
  5. bushman

    Musiba: Vodacom ilikuwa mali ya CCM mafisadi wakaipora, Nape kauza mitambo ya tv ya CCM, Mbowe anapoteza wanaohoji ruzuku

    Hahahahahahahaha wapumbavu wanaongezeka tanzania kwa kasi kuliko hata wakati wa UPE
  6. bushman

    Kama clip ni ya kutengeneza,Nape ameshindwa kukanusha au kutoa ufafanuzi kupitia mitandao?

    hakuna haja ya kukanusha upuuuuuzi kama huu
  7. bushman

    Rais Magufuli hazuiliki

    pole na kazi mkuu weka active number hupatikani kila tukikutafuta
  8. bushman

    Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    One powerful word mshamba mara ya kwanza alitumia mh.@zitto tumekabidhi nchi kwa washamba hihihihihihihihihihihi!!!!!!!!!!!!!!!!
  9. bushman

    Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    Kumbe tunaumia wengi nchi hiiiiii unafiki tu nyie si ndio mliweka huyu jamaaa wacha atubatize kwa moto.
  10. bushman

    Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    Kanyaganeni tu hakuna shida naona musiba anapost kule twitter hizo sauti
Back
Top Bottom