Press conference za Kina Paul Makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Habari wakuuu,
Nimesikiliza kwa makini sana uchambuzi wa Ndugu Hussein Bashe,Nakubaliana nae baadhi ya issues nyingi ambazo yeye anaziita key issues zinazotokana na barua ya ndugu Kinana na Makamba.Moja ya issue ambayo nauungana nae ni utamaduni wa watu kuuitisha pressconference kutukana na kuchafua watu hakuanza awamu hii,ulikuwepo wakati wa Makamba na ulishamili wakati wa Kinana rejea falsafa ya kujivua gamba press conference za Kina Paul makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa.
Lakini napingana na Bashe kuwa Cyprian Musiba sio mwanaccm sio kweli kwa ssbu Cyprian Musiba ni mwanaccm na alishawahi gombea UBUNGE jimbo la Mwibara kwa Kangi LUGOLA na akapigwa mweleka kwenye kura za maoni na Kangi LUGOLA.
Bashe rudia tena kusoma hilo tamko la wazee kama walivyosema ni mkakati wa kisiasa ndio maana wao pia wamechukua mlengo wa kisiasa,kumsaidia mwenyekiti ni kumwambia ukweli kama anaandaa mkakati asitumie siri za chama au serikali kuwadhalilisha wengine kupitia watu kama kina Musiba na Philip Mwakibinga ni hatari mno hapo atakuwa anachomekea dela.
Yanayoendelea sasa kwenye mitandao videos na sauti yanadhihirisha kuwa wazeee wako well informed juu ya nn kinapangwa ndio maana wakajibu mapigo kwa ushauri wa Pius Msekwa.
Mwishoni nimeamini ili uwe mwanaccm lazima uwe mnafiki wa kiwango cha PhD. over
 
Tatizo lenu mtu akiambiwa ukweli eti katukana
Ni lipi ambalo Nape wa Mwaka 2008 alimsingizia waziri Mkuu Lowassa? Hakuna yote yalikuwa kweli
Ni lipi ambalo Makonda wa mwaka 2012 aliitisha conference kumtukana Lowassa? Yote ni kweli
Ni Lipi ambalo tusi nimesikia likitoka kwa Musiba kwenda kwa wazee hawa?
Uwa sikubaliani na Musiba na craps zake, ila zipingwe mahakamani kwa hoja, sijaona tusi pale,
Nina wahakikishia hata Magufuli ipo zamu yake ya kusemwa hadharani,
Tutofautishe kutukana na kusemwa hadharani,

Britannica
 
Kwa hiyo sio sahihi hawa wazee kutumia mlengo wa chama kuzuia Musiba kuendelea na hizo unazoita scraps?Je Musiba mwanaccm?
 
Bashe asubiri Mkuu atakapo agiza kama Trump anavyo agiza masenet wa Kisomali waondoke US
 
Mpaka wamesema anakinga, basi ujue walishajaribu kurusha vilipuzi vikadunda. Kinga oyeee!
 
Habari wakuuu,
Nimesikiliza kwa makini sana uchambuzi wa Ndugu Hussein Bashe,Nakubaliana nae baadhi ya issues nyingi ambazo yeye anaziita key issues zinazotokana na barua ya ndugu Kinana na Makamba.Moja ya issue ambayo nauungana nae ni utamaduni wa watu kuuitisha pressconference kutukana na kuchafua watu hakuanza awamu hii,ulikuwepo wakati wa Makamba na ulishamili wakati wa Kinana rejea falsafa ya kujivua gamba press conference za Kina Paul makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa.
Lakini napingana na Bashe kuwa Cyprian Musiba sio mwanaccm sio kweli kwa ssbu Cyprian Musiba ni mwanaccm na alishawahi gombea UBUNGE jimbo la Mwibara kwa Kangi LUGOLA na akapigwa mweleka kwenye kura za maoni na Kangi LUGOLA.
Bashe rudia tena kusoma hilo tamko la wazee kama walivyosema ni mkakati wa kisiasa ndio maana wao pia wamechukua mlengo wa kisiasa,kumsaidia mwenyekiti ni kumwambia ukweli kama anaandaa mkakati asitumie siri za chama au serikali kuwadhalilisha wengine kupitia watu kama kina Musiba na Philip Mwakibinga ni hatari mno hapo atakuwa anachomekea dela.
Yanayoendelea sasa kwenye mitandao videos na sauti yanadhihirisha kuwa wazeee wako well informed juu ya nn kinapangwa ndio maana wakajibu mapigo kwa ushauri wa Pius Msekwa.
Mwishoni nimeamini ili uwe mwanaccm lazima uwe mnafiki wa kiwango cha PhD. over

Kwani uanachama wa CCM ni wa milele? Unajuaje Musiba aliondoka CCM na kuanza uanaharakati? Na Musiba kasema wazi sasa hivi sio CCM, ww unalazimisha ni CCM, akina Nape yanayowakuta sasa hivi nao waliwafanyia wengine sana tu.. Malipo ni hapa hapa duniani
 
Sasa wameacha kumjibu musiba wameanza kujibizana wao kwa wao, naona wameanza kumuelewa musiba, wote watamuelewa tu, mbona elimu anayotoa musiba ni nyepesi tu, kinachofuata ni ubatizo wa moto
 
Kwa Bashe hii ni fursa ya kutoa hasira zake za kutendwa kwa godfather wake bwana Lowassa hoja zake za kutosikilizwa kwa boss wake na kutetewa na chama wakati anashutumiwa kwa makosa ya kutunga kwa mujibu wake ni zile zile alizotumia kumskama nazo JK alipopata nafasi na kazirudia tena jana huku akimlenga Kinana tu kama mtu alieshiriki kumkata Lowassa.

Hayo mengine ni irrelevant yaani kwa akili za kawaida watu waliokuwa katika ngazi za juu za kutatua migogoro ndani ya chama hawajui taratibu za kumshitaki mwanachama au walitaka tu kutoa madukuku yao.
 
Naona Bashe bado ana gubu la mchakato wa 2015.Kuadabishwa kwa mzee Kinana na wale walishiriki kulikata jina la EL kwake ni sherehe. Nimshauri tu Bashe tofauti za kisiasa zilizopita hazina nafasi kwa Tanzania ya leo na kesho.
 
Musiba Sahv akienda mwibara kugombea anashinda!
Musiba tiketi ndy hii Sasa

Ova
 
Habari wakuuu,
Nimesikiliza kwa makini sana uchambuzi wa Ndugu Hussein Bashe,Nakubaliana nae baadhi ya issues nyingi ambazo yeye anaziita key issues zinazotokana na barua ya ndugu Kinana na Makamba.Moja ya issue ambayo nauungana nae ni utamaduni wa watu kuuitisha pressconference kutukana na kuchafua watu hakuanza awamu hii,ulikuwepo wakati wa Makamba na ulishamili wakati wa Kinana rejea falsafa ya kujivua gamba press conference za Kina Paul makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa.
Lakini napingana na Bashe kuwa Cyprian Musiba sio mwanaccm sio kweli kwa ssbu Cyprian Musiba ni mwanaccm na alishawahi gombea UBUNGE jimbo la Mwibara kwa Kangi LUGOLA na akapigwa mweleka kwenye kura za maoni na Kangi LUGOLA.
Bashe rudia tena kusoma hilo tamko la wazee kama walivyosema ni mkakati wa kisiasa ndio maana wao pia wamechukua mlengo wa kisiasa,kumsaidia mwenyekiti ni kumwambia ukweli kama anaandaa mkakati asitumie siri za chama au serikali kuwadhalilisha wengine kupitia watu kama kina Musiba na Philip Mwakibinga ni hatari mno hapo atakuwa anachomekea dela.
Yanayoendelea sasa kwenye mitandao videos na sauti yanadhihirisha kuwa wazeee wako well informed juu ya nn kinapangwa ndio maana wakajibu mapigo kwa ushauri wa Pius Msekwa.
Mwishoni nimeamini ili uwe mwanaccm lazima uwe mnafiki wa kiwango cha PhD. over
Bashe acha uongo mkuu ,Musiba ni Mwanaccm tena zaidi yako,kweli Ccm mna PHD za Unafiki hata wewe
 
Japokuwa ni follower mzuri wa ndugu Bashe, Lakini kwenye hili amejiangusha sana, kwenye video clip yake, ameonyesha hasira ya kumsema Kinana kwa sababu kinana hakumuunga mkono God Father wake Lowassa, lakini asijisahau, kuwa Lowassa ni hodari wa kuwaharibia maisha vijana wa kisomali, asimsahau yule kijana wa Stanbic Bank wa kenya aliyekuwa Dar, Yule kijana wa Makuyuni aliyefariki ghafla na mabaye alimdhalilisha lowassa katika uchaguzi wa maoni,na Pia asisahau kuwa Lowassa alijengwa sana kisiasa na Kinana, wakati Kinana Mbunge na Kipenzi wa Nyerere na Lowassa akiwa anafanya kazi ICC Arusha.
 
YUSUPH MAKAMBA alivyokuwa Katibu Mkuu (2007-2012) wa Chama cha mapinduzi aliruhusu watu wakamsema na kumtukana mpka kumpelekwa Waziri mstaafu EDWARD LOWASSA kujiuzuru (2008), Lakini haikutosaha waliendelea kumtukana na kukashifu kwa kumuita FISADI na Katibu Mkuu wa hakusema chochote.

Haikuishia hapo alipoingia ADULRAHMAN KINANA mwaka 2012 Bado watu waliendelea kumtukana na kumkashifu Mzee LOWASSA na KINANA hakuchukua hatua yoyote dhidi yao. Cha ajabu leo hii wao wamuguswa kidogo wameanza kulalama, DHAMBI walioielea leo inawatafuna wenyewe. WATULIE DAWA IWAINGIE.
 
Bado zamu ya bwana yule,wanamsubiri atoke ofisini waanze kumnanga kama ambavyo yeye leo hii na watu wake wanavyonanga watangulizi wake.
 
Habari wakuuu,
Nimesikiliza kwa makini sana uchambuzi wa Ndugu Hussein Bashe,Nakubaliana nae baadhi ya issues nyingi ambazo yeye anaziita key issues zinazotokana na barua ya ndugu Kinana na Makamba.Moja ya issue ambayo nauungana nae ni utamaduni wa watu kuuitisha pressconference kutukana na kuchafua watu hakuanza awamu hii,ulikuwepo wakati wa Makamba na ulishamili wakati wa Kinana rejea falsafa ya kujivua gamba press conference za Kina Paul makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa.
Lakini napingana na Bashe kuwa Cyprian Musiba sio mwanaccm sio kweli kwa ssbu Cyprian Musiba ni mwanaccm na alishawahi gombea UBUNGE jimbo la Mwibara kwa Kangi LUGOLA na akapigwa mweleka kwenye kura za maoni na Kangi LUGOLA.
Bashe rudia tena kusoma hilo tamko la wazee kama walivyosema ni mkakati wa kisiasa ndio maana wao pia wamechukua mlengo wa kisiasa,kumsaidia mwenyekiti ni kumwambia ukweli kama anaandaa mkakati asitumie siri za chama au serikali kuwadhalilisha wengine kupitia watu kama kina Musiba na Philip Mwakibinga ni hatari mno hapo atakuwa anachomekea dela.
Yanayoendelea sasa kwenye mitandao videos na sauti yanadhihirisha kuwa wazeee wako well informed juu ya nn kinapangwa ndio maana wakajibu mapigo kwa ushauri wa Pius Msekwa.
Mwishoni nimeamini ili uwe mwanaccm lazima uwe mnafiki wa kiwango cha PhD. over
Kajifunze kuamdika kwanza alafu ndo uje humu.
 
Tatizo lenu mtu akiambiwa ukweli eti katukana
Ni lipi ambalo Nape wa Mwaka 2008 alimsingizia waziri Mkuu Lowassa? Hakuna yote yalikuwa kweli
Ni lipi ambalo Makonda wa mwaka 2012 aliitisha conference kumtukana Lowassa? Yote ni kweli
Ni Lipi ambalo tusi nimesikia likitoka kwa Musiba kwenda kwa wazee hawa?
Uwa sikubaliani na Musiba na craps zake, ila zipingwe mahakamani kwa hoja, sijaona tusi pale,
Nina wahakikishia hata Magufuli ipo zamu yake ya kusemwa hadharani,
Tutofautishe kutukana na kusemwa hadharani,

Britannica
Kweli nimeamini kwamba: kuku huwa anakunya, lakini bata hanyi huwa anaharisha.

Sisi wengine tukimsema mkuu mnasema tumemtukana,mkisema ninyi yaleyale tunayosema sisi,mwasema...mnasema kwa kawaida.

Ccm kweli hamueleweki
 
Back
Top Bottom