Recent content by brooo

  1. B

    Naomba ushauri wenu

    habar wana jf hem naomba ushauri wenu,ni jambo gani hasa la awali kumuashiria au kumuonesha mtu(awe m/mke au m/mme) ambae umemzimikia ili aweze kubrainstorm kama unampenda
  2. B

    QN: What are the political future of Africa?

    How i can predict the future? What are the political future of Africa?
  3. B

    Elimu kuhusu research

    kiukweli mdau naweza kusema kwamba bado chuo changu hakijanifundisha the way ambavyo research zinafanya kwa sababu format ya chuo chetu ni kwamba course hio inafundishwa mwaka wa tatu semister ya kwanza, na ahata hio research yenyewe inafanya mwaka wa tatu ila,sisi baada ya kuwaona wenzetu wa...
  4. B

    Elimu kuhusu research

    asante sana kwa kunifumbua macho mzeeee
  5. B

    Elimu kuhusu research

    Habar zenu wadau Mimi ni mwanafunzi nasoma Zanzibar University, mwaka wa pili 1st degree katika combination ya biology chemistry (EDUCATION) na hiki kipindi tulichonacho tumekabiliwa na ufanyaji wa research hivyo naomba msaada wenu kuhusiana na procedures zote za kufuata kuanzia tangu kwenye...
  6. B

    Wamependeza

    they look so goooooooooooooooooooooooooooooodd
  7. B

    Mafunzo ya computer

    Hapana,ni kwamba mimi ni mgeni kuhusu matumizi ya computer hata yale ya kawaida kama vile microsoft words and exel,hivyo nilikua naomba msaada kama humu jf naweza kupata japo kama video zinazohusu kufundisha hizo course
  8. B

    Mafunzo ya computer

    asante sana mkuu
  9. B

    Mafunzo ya computer

    ndio kwanza nataka kuanza mkuu
  10. B

    Mafunzo ya computer

    Naomba kufaham vipi naweza kupata mafunzo ya computer humu jf
  11. B

    Mwanamke ana nguvu kuliko mwanaume

    hahahahaaaaaaaa
Back
Top Bottom