Recent content by Bromensa

  1. Bromensa

    CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Mshamba mama yako.
  2. Bromensa

    CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Rudia kusoma kabla ya kucomment
  3. Bromensa

    CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Hujui kitu tulia
  4. Bromensa

    CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Ukiacha ushoga na mimi nitafuata ushauri wako
  5. Bromensa

    CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Salaam, Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015. Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea ufisadi mpaka kufikia hatua ya kuwataja wahusika wa ufisadi serikalini. Watu wengi walikuwa na...
  6. Bromensa

    Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Hahaha, utetezi wako niliutegemea.
  7. Bromensa

    Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Habari, Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na nje ya CCM. Mara nyingi amekuwa akitumia jukwaa kujielezea yeye zaidi kuliko chama...
  8. Bromensa

    Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

    Kimsingi mpaka sasa Milion 200 haina mpinzani. Tutafuta pesa.
Back
Top Bottom