Recent content by boja

  1. boja

    Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

    Watu wa mikoa mingine ni wajinga, uselfish mwingi,Maringo mengi,Harafu hawathamini makwao,Huwezi kukuta wachaga wapo ofisi moja halafu wanachongea hili never,ila makabila mengine haya roho mbaya,husda kibao,Yaan hata amiwa kitengo ukimwambia nipigie pande atajizungusha mpaka unakataa...
  2. boja

    Half Engine 4E ya Toyota Starlet inahitajika

    Mwenye Half Engine 4E ya Starlet anicheck inbox ama hata kama ni Engine nzima anichek Inbox tuyajenge.
  3. boja

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Inamaanisha viongozi wa sasa hivi wameshilikiliwa they cant do any movement wako kama robots they are being controled by someone else.
  4. boja

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Kwa hili mimi Namuunga mkono Mh.Rais....Hata kama anatafuta Kiki sawa.
  5. boja

    Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    Anasubili uteuzi huyu...Kwani kashaona akina Kamoga walipewa shavu sasa nae anapigana kufa na kupona....
  6. boja

    Nauza desktop full

    Nipo mwanza naitaka hio...njoo PM
  7. boja

    Tetesi: Serikali kujipatia Tender yenyewe....

    Habari wakuu.. Nimejaribu kufuatilia uvumi wa Serikali kuanza kujipa tenda mbalimbali zikiwemo za ukandarasi 1.kuna zile Hostel za Udsm Serikali imejipa tenda yenyew.... 2.Kuna ujenzi wa NHC nako Serikali imejipa Tender yenyew... Sasa swali hivi huo mzunguko wa Pesa utatoka wapi ile hali pesa...
  8. boja

    Ungependa Darassa afanye collabo na nani?

    Ally Kiba...
  9. boja

    Uelewa kuhusu kugusa kizazi cha mwanamke

    Nina tatizo hili Pia...mpk sasa nipo kwenye ugomvi mkubwa sana na mpenz wangu ananiambia kila baada ya sex tumbo hua linamsumbua sana...hivyo nilimwambia tuachane hajanipa jibu mpk leo....mpk sas kula mzigo ananikwepa na nimejarbu kwenda kwa madaktari ushauri nikiopewa ni sawa na huo jamaa...
  10. boja

    Nyumba Za South Africa kweli ni Bei Rahisi?

    Natumai wanajamvi baada ya weekend ndeeefu kua ukingoni na kesho tunaendelea na majukum kama kawaida Jamani mie nina Swali langu kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo Juu. Hizi Nyumba za Soth africa ambazo Naoana Diamond na Doctor Mwaka wamenunua uzuri wake na Bei kama haviendani...
  11. boja

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na Bilionea Dangote

    Habari wakuu.. Kama alivyosema yeye mwenyew Dangote kua amegiza Maroli 600 na yameshafika Bandarini ni kweli Yamesha wasili na Meli moja kubwa toka Uchina....Hapa naona Ajira 1200 yaani madereva 600 Matingo 600...Hongera Serikali ya JPM.
  12. boja

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Sasa si bora iajili hao watalaam wachache kulko kua na watu wengi af Zero...kuna mantiki gani sasa hapo??
  13. boja

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Utakuta kwenye Halmashauri kuna wachumi wa halmashauri 7,Wahasibu 5 cjui afisa mipango 6,afisa ustawibwa jamii 4,cjui Wanasheria wa Halmashauri 4...sasa jaman kweli kwa mtindo huu tutafika? mbn hizo zingefnywa na mtu1 tu hapo.... Mfano Kampuni kama Vodacom ni kubwa sana ila ina mwanasheria 1...
  14. boja

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Habari zenu wanajamvi natumai Jumapili inaenda vyema.. Napenda nijitokeze kumuunga mkono Mh.Paul Makonda kwa Swala alilosema kua Serikali inatakiwa ipunguze wafanyakazi... Ni kweli Serikali inabidi iangalie swala hili kwa undani sana maana Serikali ina wafanyakazi wengi na wenyew vyeo visivyo na...
  15. boja

    Fedha za maafa ya tetemeko la Bukoba ziko wapi?

    Habari za mchana wanajamvi, Poleni kwa msiba wa Bw. Samwel Sitta Mungu amlaze Mahala Pema Peponi. Amen. Najitoza kwenu kuhoji juu ya mabilioni ya pesa yalichangwa na wahisani mbalimbali kutoka na maafa ya yaliyotekea Kagera/Bukoba kwa ajili ya Tetemeko. Tuliona matajiri waliitwa na kamati ya...
Back
Top Bottom