Recent content by BOB LUSE

  1. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Tena wanatunza Ili wakipatwa na shida waje kupiga mizinga,wapo tayari kutoa chochote.nimeshatafutwa sana,una shangaa za siku? Za miaka,upo? Umenisusa?!
  2. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Mithali 22:7 (b) Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye. the borrower is servant to the lender.
  3. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Mithali 15:27 [27]Atamaniye faida huifadhaisha nyumba yake mwenyewe; Bali achukiaye zawadi ataishi. He that is greedy of gain troubleth his own house; but he that hateth gifts shall live.
  4. BOB LUSE

    Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Kipoozea,hakichelewi kufanya mapinduzi,kikigundua madhaifu yako!
  5. BOB LUSE

    Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Yakumbuke maneno yako! Hujafa hujaumbika,there past which refuses to be tense. Endelea kushika ulicho nacho.
  6. BOB LUSE

    Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Kabisa! Ukipata ujumbe wa "Mambo" Ushavurugwa.
  7. BOB LUSE

    Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Shida baadae unajihukumu,ukiendelea unaanza kulinganisha na kutoa kasoro mwenza
  8. BOB LUSE

    Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu. Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana. Haijalishi miaka mingapi...
  9. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Mkuu wadada wa siku hizi,anaweza onyesha viashiria kuwa amekuelewa,ukawa huna shaka,wangapi wanaachwa? Sio wajinga, Naamini wanaume wengi tunapenda kutoa Hela Kwa wanawake kama ishara ya Upendo, support,kuonyesha uwezo wa kubeba majukumu n.k Kiroho huwezi kupenda bila kutoa,kumbuka
  10. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Kwako unakuwa huna hatia,ila mpokeaji anakosa amani.anajiona ana deni.sio tabia nzuri kuombaomba Hela, kwakuwa unafungua mlango wa uhalali kwako.chochote utakachomuomba ukikwama hawezi kukataa kukupa
  11. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Hujaliwa Hela,umeliwa chenji,na huyo Dada hawezi kuachana na wewe kwakuwa ni gari la mshahara
  12. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Kweli Mkuu,Kuna watu niliwahi kuwakopesha,kuwasaidia,Mimi sikumbuki,ila nikionana nao wamechoka,wananieleza nilivyowakopesha,hata sijui ni lini na kiasi gani.nafuu anayekudai Kuliko anayekaa kimyaa.
Back
Top Bottom