Introduction
This article attempts to gain a better understanding of corruption and efforts to
control it through a case study of Tanzania. Since the socialist era of the 1970s,
policy makers have been concerned about corruption. During the Nyerere years,
corruption was defined as a form of...
---------------------------
Usibishe tu kama mswahili usome publication na sources mbalimbali, acheni uvivu na kubaki kuongea tu__hii chini itakupa msaada kdg. Tafuta na makala zingine then compare na kutafuta ukweli:
Table 2: Overall and Per Capita Gross Domestic Product in 1992 Prices-...
Nimesoma kwa makini hii post. Nadhani vichwa vya waafrika vina shida fulani na ninadhani ni matokeo ya kitu kinachoitwa mental slavery, utumwa wa mawazo na umaskini wa mawazo pia ambao Nyerere alisisitiza pia. Pia ukiangalia kwa makini ndicho kilichotokea Libya (kwa kufananisha kwa uchache as a...
Nakubaliana na wewe aise, mie ni mmoja wa watu waliokuwa wanafatilia hiyo hotuba yake. Kwa kweli inatia aibu ufinyu uliokuwepo kwenye hiyo hotuba. Nadhan ile ya upinzani imegusia mambo muhimu zaidi na coverage yake imekuwa bora kuliko ya Wasira.
Wamekula posho tu hao, bado tuna kazi!
Hivi karibuni nimeona msururu wa kujipendekeza kwa rais kwenda kwenye sherehe za kikristo. Nadhan Jk anajipendekeza tu kwa wakristo maana ameshajua ameriharibu mwenyewe kwa kutengeneza vita ya kidini. Sasa hivi kila kukicha anatafuta wapi wakristo wana sherehe, hahahaaa hata hana aibu kwani...
Leo TBC news, eti JK katoa pongezi za kuteuliwa askofu wa katoliki, mie naona Rais hili amekuwa mnafiki tu maana hizo pongezi za kuteuliwa askofu basi azitoe kwa makanisa mengine pia na hata masheikh basi. Naona kwa hili amechemka tu kama kawaida yake au anajigonga kwa Roman asionekane mdini...
Basi tufanye comparison na SURA YA CCM:
1) UFISADI syndrome- Pesa nyingi kuchukuliwa na kuendelea kuwalinda wezi hao kwa nguvu zote, na huduma za jamii kuendelea kudorora.
2) PROPAGANDA syndrome- Jamii kuendelea kudanganywa ili waogope kuvunja amani as much as possible, kutunga uwepo udini ili...
Ni kweli ndugu, nimeiona pia hii. Nadhan ni vema pia ukapost hii msg kwenye website yao kabisa maana wakati mwingine hawapati haya maoni kirahisi.
Message sent!
Nimemuona kwa tv jana, nadhani CCM watambue kuwa huyu Mukama basi ni tatizo lingine pengine kubwa kuliko Makamba. Maana uropokaji wake au kutoa hoja ya siasa hiyo jana imenipa kutambua kuwa ni mtu wa kukurupuka kama Makamba. Sasa hajui kwa kutoa hicho kihoja kuwa upinzani umeanzishwa na...
Mkuu hiyo ramani ya marekani nahisi umeipandikiza bwana, mbona naona ina hang tu na jama imeziba website original!!??
Nina wasi wasi sivyo inavyoonekana bwana! Acha hizo
Tusihangaike sana kutafuta mchawi, hiki chama kimeharibiwa na kitaendelea kuharibiwa na MWENYEKITI WAKE AMBAE NI KIKWETE. Tusizunguke zunguke sana kuwalaum kina makamba, shigela n.k. Hapa nyumba inapokwenda mrama mwenye jukum la kuokoa ni rais, kama rais ambae ndie baba yao ni bogus basi kila...
Tukiwalaumu UVCCM tutawaonea tu, nadhani BABA zao ndo wenye shida maana hao watoto wamelelewa na baba zao ambao ndo viongozi wa juu wa CCM, huyo mwenyekiti wao yuko wapi kuchukua hatua za kurekebisha chama, kama baba yao amelala fofofo, sembuse vp vijana waliolelewa kwenye kulala wataamka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.