JK acha kujipendekeza, wameshajua uswahili wako!

Bless the 12

Member
Nov 5, 2010
61
4
Hivi karibuni nimeona msururu wa kujipendekeza kwa rais kwenda kwenye sherehe za kikristo. Nadhan Jk anajipendekeza tu kwa wakristo maana ameshajua ameriharibu mwenyewe kwa kutengeneza vita ya kidini. Sasa hivi kila kukicha anatafuta wapi wakristo wana sherehe, hahahaaa hata hana aibu kwani mbona haendi kwa masheikh wake au wamekufa ndo maana anatangatanga! Kwa kuwa ulinzi haupo tena.

Rais usijiaibishe kama mtoto mdogo, sie tumeshamgundua upuuzi wako unataka kutupumbaza eti uko karibu na wakristo ili baadae ahakikishe 2015 uweke muislamu. Hakuna mtoto mdogo siku hizi, umeshafulia!!

We fanya maendeleo ya nchi tu ndo tukupime vizuri.
 
hivi karibuni nimeona msururu wa kujipendekeza kwa rais kwenda kwenye sherehe za kikristo. Nadhan jk anajipendekeza tu kwa wakristo maana ameshajua ameriharibu mwenyewe kwa kutengeneza vita ya kidini. Sasa hivi kila kukicha anatafuta wapi wakristo wana sherehe, hahahaaa hata hana aibu kwani mbona haendi kwa masheikh wake au wamekufa ndo maana anatangatanga! Kwa kuwa ulinzi haupo tena.

Rais usijiaibishe kama mtoto mdogo, sie tumeshamgundua upuuzi wako unataka kutupumbaza eti uko karibu na wakristo ili baadae ahakikishe 2015 uweke muislamu. Hakuna mtoto mdogo siku hizi, umeshafulia!!

We fanya maendeleo ya nchi tu ndo tukupime vizuri.

most urgent: Mods, please take this thread out!

threads of this nature should always be trashed, please!
 
nimekugongea thanks,mkuu!!

hata aendeshe liturujia bado kichapo kinabaki palepale sio kwa didni yake bali kwa poor performance yake kama Rais wa JMT!!
 
hahah na sasa hivi yupo mbinga kuhudhuria kusimikwa kwa askofu, jimbo katoliki
 
kaishiwa sera huyu, dawa wasimualike tena kwenye sherehe zao
 
Yeye si ndio alituma watchdog wake waseme kua dr slaa ni padre wa kikatoliki, mbona anaenda kwa ma padre tena
 
Hivi karibuni nimeona msururu wa kujipendekeza kwa rais kwenda kwenye sherehe za kikristo. Nadhan Jk anajipendekeza tu kwa wakristo maana ameshajua ameriharibu mwenyewe kwa kutengeneza vita ya kidini. Sasa hivi kila kukicha anatafuta wapi wakristo wana sherehe, hahahaaa hata hana aibu kwani mbona haendi kwa masheikh wake au wamekufa ndo maana anatangatanga! Kwa kuwa ulinzi haupo tena.

Rais usijiaibishe kama mtoto mdogo, sie tumeshamgundua upuuzi wako unataka kutupumbaza eti uko karibu na wakristo ili baadae ahakikishe 2015 uweke muislamu. Hakuna mtoto mdogo siku hizi, umeshafulia!!

We fanya maendeleo ya nchi tu ndo tukupime vizuri.

jitu la ovyo lile!!!!
 
Jamani, ni vema kudadisi jambo na kulijua kiundani kabla ya kusema au kuandika. Tujiulize huyo JK kwani huwa anajialika?
 
Hivi karibuni nimeona msururu wa kujipendekeza kwa rais kwenda kwenye sherehe za kikristo. Nadhan Jk anajipendekeza tu kwa wakristo maana ameshajua ameriharibu mwenyewe kwa kutengeneza vita ya kidini. Sasa hivi kila kukicha anatafuta wapi wakristo wana sherehe, hahahaaa hata hana aibu kwani mbona haendi kwa masheikh wake au wamekufa ndo maana anatangatanga! Kwa kuwa ulinzi haupo tena.

Rais usijiaibishe kama mtoto mdogo, sie tumeshamgundua upuuzi wako unataka kutupumbaza eti uko karibu na wakristo ili baadae ahakikishe 2015 uweke muislamu. Hakuna mtoto mdogo siku hizi, umeshafulia!!

We fanya maendeleo ya nchi tu ndo tukupime vizuri.

abatizwe awe mkristo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom