Recent content by Babyloni

  1. Babyloni

    Natamani sana biashara ya kudaka mitumba na kuitembeza mtaani!

    Mkuu nenda mlango mmoja asubuhi utakuta wafanyabiashara wengi wanafungua marobota, ni wewe tu kuamua unataka T-shirt, Shirts nk
  2. Babyloni

    Uliyewahi kubadili dini ulichukuliwaje na ndugu zako?

    Nilibadili kutoka ukatoliki kwenda usabato familia ikadai nmepata demu wa kisabato
  3. Babyloni

    Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Nina utaratibu wa kufua nguo kila baada ya miezi miwili na sina utaratibu wa kurudia nguo, kwa hiyo namiliki nguo nyingi sana zingine naweza vaa mara moja kwa mwaka au nisivae kabisa na zote hua ni brand new original na si mtumba NB: Kuvaa na kupendeza ni...
  4. Babyloni

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

    kipindi npo shule ( o level ) nling’oa demu aliyekua mzuri kuliko wote baada ya hapo kila demu alikua ananitaka nakumbuka waliniita SUKARI YAO.
  5. Babyloni

    Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    Acha kupotosha mkuu kura za kigamboni zilihesabiwa mubashara tukiwa tunashuhudia
Back
Top Bottom