Recent content by Baba Collin

  1. Baba Collin

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Asante sana kaka nashukuru ikiwezekana naomba niwekee pdf ya yote ya MWIKA HIGH SCHOOL Ahsante
  2. Baba Collin

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    MKUU NAOMBA YA MWIKA HIGH SCHOOL TAFADHALI... Nipo na madogo hapa wanataka kujiharishia hapa tuwasaidie kaka
  3. Baba Collin

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Pamoja sana mbna mbna mambo ya kuhutubiana tena na wanyama?
  4. Baba Collin

    CHADEMA; Tundu Lissu vipengele hivi vya katiba yenu vimezingatiwa?

    Zito ni msaliti tu hata aende mahakama waliyopelekwa akina kenyata na ruto hafai kuwepo chadema aende kwa walio mtuma
  5. Baba Collin

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Afukuzwe manake wanavyoendelea kumlea ndivyo anavyokigharimu chama bora afukuzwe
  6. Baba Collin

    Nmb mobile si salama wizi wakishirikiana na airtel

    Huo ni ukwel kabisa mkuu hawa jamaa wanashirikiana na airtel kuiba.juz kati nilitumia nmb mobile kuhamisha huduma ya muda wa maongez tsh 5500 kilichotokea walisema externel application down ila pesa wakakata bila kuongeza salio.. Wizi huu upo wazi sana kuwen makini hata km bdo hujaibiwa ila...
  7. Baba Collin

    Siasa za majitaka za CHADEMA Mbeya na hofu ya kushindwa uchaguzi

    huyu jamaa anajiamini sana kwa kudhani nchi hii ni mali ya ccm...anafanya kila aina ya jeuri uzushi na hila chafu kwa chadema akiamini wananchi wataichukia chadema...wananchi tupo makini kwa sasa na tunazifahamu dhuluma na uonevu unaofanywa na serikali ya ccm...hvyo kuipaka matope chadema...
  8. Baba Collin

    Jambo leo: Mtwara wakubali gesi itoke.

    da hilo gazeti linazungumzia wanamtwara wapi? Walioko ikulu?
  9. Baba Collin

    Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

    wanajeshi wawili wamekuja kugonga mlango wetu kwa nguvu sana hapa maeneo ya kiyangu wakitukana k*** *** zenu zimeni tv...da!ikabdi masela wote tukimbilie chumban da naanza kuhsi hali ya kuibiwa ibiwa hivi...kiyangu ni mtaa ambao haujaathiriwa sana na vurugu tangu juzi
Back
Top Bottom