Search results

  1. Baba Collin

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Asante sana kaka nashukuru ikiwezekana naomba niwekee pdf ya yote ya MWIKA HIGH SCHOOL Ahsante
  2. Baba Collin

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    MKUU NAOMBA YA MWIKA HIGH SCHOOL TAFADHALI... Nipo na madogo hapa wanataka kujiharishia hapa tuwasaidie kaka
  3. Baba Collin

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Pamoja sana mbna mbna mambo ya kuhutubiana tena na wanyama?
  4. Baba Collin

    CHADEMA; Tundu Lissu vipengele hivi vya katiba yenu vimezingatiwa?

    Zito ni msaliti tu hata aende mahakama waliyopelekwa akina kenyata na ruto hafai kuwepo chadema aende kwa walio mtuma
  5. Baba Collin

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Afukuzwe manake wanavyoendelea kumlea ndivyo anavyokigharimu chama bora afukuzwe
  6. Baba Collin

    Nmb mobile si salama wizi wakishirikiana na airtel

    Huo ni ukwel kabisa mkuu hawa jamaa wanashirikiana na airtel kuiba.juz kati nilitumia nmb mobile kuhamisha huduma ya muda wa maongez tsh 5500 kilichotokea walisema externel application down ila pesa wakakata bila kuongeza salio.. Wizi huu upo wazi sana kuwen makini hata km bdo hujaibiwa ila...
  7. Baba Collin

    Siasa za majitaka za CHADEMA Mbeya na hofu ya kushindwa uchaguzi

    huyu jamaa anajiamini sana kwa kudhani nchi hii ni mali ya ccm...anafanya kila aina ya jeuri uzushi na hila chafu kwa chadema akiamini wananchi wataichukia chadema...wananchi tupo makini kwa sasa na tunazifahamu dhuluma na uonevu unaofanywa na serikali ya ccm...hvyo kuipaka matope chadema...
  8. Baba Collin

    Jambo leo: Mtwara wakubali gesi itoke.

    da hilo gazeti linazungumzia wanamtwara wapi? Walioko ikulu?
  9. Baba Collin

    Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

    wanajeshi wawili wamekuja kugonga mlango wetu kwa nguvu sana hapa maeneo ya kiyangu wakitukana k*** *** zenu zimeni tv...da!ikabdi masela wote tukimbilie chumban da naanza kuhsi hali ya kuibiwa ibiwa hivi...kiyangu ni mtaa ambao haujaathiriwa sana na vurugu tangu juzi
  10. Baba Collin

    Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

    la sita nimelisikia muda huu nje naona makarandinga ya jeshi yanapita kwa speed kubwa,..cha kushangaza hii milio ni mikubwa kuliko yale tuliyoyazoea ya jana na juzi...siju wanajesh wameshakunywa viroba wanapiga tu,au hawa polisi wetu wezi ama wananchi!kuna hali ya sintofahamu
  11. Baba Collin

    Lwakatare kuendelea kusota rumande

    hapo kuna jambo ndio maana ile likizo ya wiki mbili ya hakimu ilinipa wasiwasi...
  12. Baba Collin

    Ujumbe wa wananchi wa Mtwara kwa Rais kikwete juu ya sakata la gas.

    da!mi npo mtwara na kipeperushi kimeletwa oficini kwetu ...inabidi kesho nikafanye shopping ya chakula
  13. Baba Collin

    Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Tumia mdomo ila usifanye mdomo ukutumie.
  14. Baba Collin

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    chemba a.k.a bukoba boy...Chadema haitakufa kwa mkanda wa lwakatare wala mbinu zenu za kimafia zinazofanywa na chama chenu cha mafisadi...hata ukipata kilakitu unachokitaka katika ulimwengu huu bwana bukoba boy lakini kama huna upendo wewe si kitu kabisa mbele za mungu...ITS BETTER TO BE IN THE...
Back
Top Bottom