Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi...
3 Reactions
16 Replies
497 Views
Wanajamvi heshima kwenu,katika pitapita zangu mtandaoni nilibahatika kukutana na notisi nzuri sana kwa watoto wa shule ya msingi, kupitia forum ya "msomi bora" kwa bahati mbaya sana notes hizo...
0 Reactions
4 Replies
205 Views
Niliwahi kum unfollow Dr mmoja anayewasema sana wanaume, ila kila nikifungua simu naona ukurasa wake eti suggested for you! Kwa mwanaume yeyote ukitaka kuishi kwa kuongezewa msongo,mfuate huyu...
1 Reactions
3 Replies
134 Views
Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu. link ya vitabu
0 Reactions
8 Replies
233 Views
Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex) Laini...
5 Reactions
9 Replies
212 Views
Habari wana jamvi. Kutokana na changamoto ya gharama za vifurushi tunaelezwa kuwa angalau tukitumia router inapunguzakwa kiasi fulani. Sasa naomba kujua router (MiFi) ya kampuni gani ni nzuri...
2 Reactions
19 Replies
968 Views
Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu ...samsung a10s
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Aisee mi siwezi kutumia hiki kidude wanachokiita SIRI (AI)…
1 Reactions
8 Replies
232 Views
How to reset your phone? The generic steps for factory reset will involve the below similar steps: Go to the Settings app in your phone and find System. Select Reset Option. Reset option usually...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha /...
1 Reactions
10 Replies
437 Views
Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Kwa miaka nenda rudi, nchi kama marekani imekuwa na matukio kadhaa ya UFO(Unknown Flying Object). Madai abayo yamekuwa yakihusisha vifaa hivyo na uwepo wa viumbe wengine wneye akili na teknolojia...
0 Reactions
9 Replies
220 Views
Naomba ushauri nataka kununua used Samsung Galaxy note 10 plus je ni nzuri?
0 Reactions
1 Replies
168 Views
UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0...
2 Reactions
21 Replies
643 Views
Habari wanajukwaa natumaini mbuheri wa afya. Leo naomba nigusie japo kwa kiasi kuhusu hizi apps za mikopo ambazo kwa Sasa zimekuwa nyingi sana na promotion kubwa inafanyika huko YouTube...
3 Reactions
7 Replies
819 Views
Wakuu habari za mida! Nilinunua simu mkoa wa kigoma nikizani nmenunua samsung galaxy s10 plus... kumbe nmenunua docomo s10 plus sasa kinachonikera ni kuona ikiwaka inaonesha logo ya docomo...
8 Reactions
18 Replies
525 Views
Mambo vipi watu wa Tech. Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa. Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina...
4 Reactions
16 Replies
290 Views
Back
Top Bottom