Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

msaada wakuu ninaweza kuipata termal compound(Thermal Paste) wapi,je kuna njia ambayo ni rahisi kutumia au mbadala wa thermal compound?naomba msaada wenu
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwekufahamu hiki kifaa kinapopatikana nahitaji msaada kesho nitakuwa dar naomba na bei yake ,tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi hii ni kweli?
0 Reactions
0 Replies
582 Views
In spite of the heat on torrent sites, as well as uploaders and downloaders, it seems that people are not really scared from carrying on. Even The Pirate Bay, the world’s most resilient torrent...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafadhali naomba anayetumia King'amuzy cha Continental Mkoani arusha anijulishe kama kinapiga kazi au vipi , nahitaji kununua king'amuzy mapema. Thankx All.
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Habarini bandugu Naitaji sana simu aina ya HTC nimeweka picha hiyo chn hapo Refurbished Sprint HTC Evo 4G Android Phone 650 × 650 - 37k - jpg uwezo wangu ni 100,000/= pls mwenywe nayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye kuwa na activation code za coreldraw x4 naomba msaada.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Simu inapiga na kupokea ila internet haikubali. Niwahi kupeleka moja pale Mlimani City wakanifungulia kwa kama dakika moja. NI JINSI GANI YA KUIFUNGUA KWA WANAOJUA?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wakuu, kwanza kabisa nitoe shukrani sana kwa mkuu magnifico ambaye since the day alipo-post hapa kwa mara ya kwanza beat yake aliyoigonga kwenye FL studio, we kept in touch na kufanya kazi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wana jamii ili tatizo limetokea ghafla, simu yangu ilikuwa inafanya kaz vizur huku ikisoma memory! kuna saa nka irestart baada ya kuwaka ikaniindikia SD CARD BLANK OR HAS UNSUPPORTED FILE SYSTEM...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya sasa..kwa wale iphone users if u want to have more freedom and control of ur phone evard3rs have released the ios 7 jailbreak just in time for the holidays.... How to jailbreak iOS 7 using...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Habari za humu ndani wa jf nilikuwa naomba mnisaidie jins ya kuunganisha internet katika sim yangu ya iPhone 4 natumia laini ya vodacom :thumbup::
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwenye kufaham jinsi ya kutumia hii kitu. Mimi inanisumbua kichz guys. Help me
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wana jf habari zenu, kuna kaproject binafsi ninakafanya ka kutengeneza website kwa kutumia jsp na servlet, sasa nikilog out halafu nikarudi back kwa kuclick back button ninaweza kuaccess tena...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Wakuu nawezaje ku-move object left to right au up to down! Nimejaribu kugoogle lakini sijapata maelezo ya kutosha! Mfano wa object ninayotaka ku-move iyo hapo #include <graphics.h> #include...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FOX TAB: 3D in your browser! FoxTab brings innovative 3D functionality to your Firefox. New! Top Sites for FoxTab (aka Speed Dial). Now you can access your most favorite sites from the...
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Wadau ninasukuma sim yangu blackberry bold 9900 ipo katika hali nzuri haina scratch zozte kwenye screen ipo fresh kabisa, mwenye kuhitaji seriously ani pm.
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Giant Alien Planet Discovered in Most Distant Orbit Ever Seen...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
McLaren pursues replacing windshield wipers with a force field By Alex Lloyd | Motoramic – Tue, Dec 17, 2013 9:22 AM EST Email 21 Print Mary Anderson, an...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Nokia has decided that it’s going to make sure that isn’t a problem with the Lumia 1520, which will reportedly ship with a 3400mAh battery. That’s 200mAh more than the Galaxy Note 3, and it’s...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom