Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726
Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana...
UTANGULIZI
Wakuu habari.
Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua...
Hata kama ni jobless, bado maisha inabidi yaendelee. Pengine muda huu, kuna jobless wa Mungu anakaribia kukata tamaa au ameshakata tamaa kwa sababu hajui afanye nini au mishe mishe gani kusukuma...
Mambo job seekers wenzangu?
Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021?
Tunataka tukajaribu bahati zetu.
Hello wana JF .
Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.
Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta...
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA
Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma...
Aise! Sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40 min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,
Second interview inakuwa ya skype...
Heshima yenu wakuu.
Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku.
1. Ninaishi Kigamboni
2. Umri wangu...
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi...
Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu, plz naomba anijulishe. Elimu yangu ni ya vidato 6.
Sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafsi tu na hiyo kazi..
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu...
Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila...
Wadogo zangu wakike na wakiume. Naomba niwashauri kitu kimoja tu siku ya leo. Kama ukipata kazi nchi za uarabuni basi ni nchi mbili tu ndio bora, salama na mishahara mizuri.
DUBAI na QATAR hizi...
Habari wadau,
Huu ni uzi spesheli kwa waliowahi au walioajiriwa, kwa wale wataalamu wakujiajiri hapa siyo sehemu sahihi.
Kuna njia mbalimbali ambazo watu huzipitia ili kufikia kwenye ajira, wapo...
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.