KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers) Imeweka mazingira kwa viongozi wa umma kuwa na fedha nje ya...
5 Reactions
463 Replies
35K Views
Nchi mbili zinapoungana na kuwa Nchi moja mifumo ya kawaida ya miundo ya Katiba ni miwili: Muungano wa Serikali Moja, au Shirikisho la serikali Tatu. Kwa mfumo wa kwanza kila nchi itafuta serikali...
7 Reactions
367 Replies
35K Views
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa ni kwamba mwanasheria mkuu wa Zanzibar amemwandikia barua spika wa bunge la katiba kumtaarifu kujitoa katika timu aliyoiteua kuandika katiba baada ya vifungu...
12 Reactions
279 Replies
35K Views
Ndugu wanabodi msisahau kufuatilia MDAHALO WA KATIBA LEO JUMAMOSI tar 3 itakayorushwa moja kwa moja ITV kuanzia leo saa 8 kamili mchana hadi saa 11 kamili jioni. Watoa MADA watakuwa ni JENERALI...
1 Reactions
446 Replies
34K Views
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa...
5 Reactions
540 Replies
33K Views
Hodi Hodi Wadau wote wa Mtandao wetu pendwa, mtandao nambari one Tanzania, mtandao usio na mafungamano yoyote, Mtandao wa Jamiiforums! Natumaini kuwa leo mmeamka salama bukheri wa afya njema. Wale...
10 Reactions
333 Replies
33K Views
Katika hali ya kuonekana kuanza kukwama kwa katiba, M/kiti wa bunge la Katiba nduguSamuel Sitta ameunda kamati ya maridhiano kwa ajili ya kujadiliana na wale waliosema HAPANA. Hii ni njia ya...
9 Reactions
357 Replies
33K Views
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo. 1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza...
1 Reactions
287 Replies
32K Views
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi. Sichukii dini na imani za watu lakini...
16 Reactions
318 Replies
32K Views
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya...
1 Reactions
153 Replies
32K Views
Msitunyonye bana nyie! Msitunyonye mnatudhiri! Tuachaneni angalau tujikung'ute kidogo! Tumekuwa mafukara; mtu mwenye miaka kumi na tatu amepinda mgongo kama mtu wa miaka sabini na tano! &#8230...
50 Reactions
356 Replies
32K Views
Soma na jipatie Rasimu ya Katiba aliyotangaza jana Mzee Warioba hapa.
32 Reactions
128 Replies
32K Views
  • Closed
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa. Nawashauri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na...
9 Reactions
352 Replies
31K Views
Hatimae wabunge wa Bunge maalumu la katiba wamekataa mahakama ya kadhi kuwa kwenye katiba. Lakini wameona kwamba mahakama hiyo iwepo lakini iendeshwe na wahusika. Wanasema hata kwenye katiba ya...
12 Reactions
378 Replies
31K Views
Jumuia ya maiamam Zanzibar imemtaka rais kikwete amwajibishe Lukuvi kutokana na kauli yake ya kutaka kuidhibiti zanzibar kwakuwa ni nchi yenye waislam wengi. Katibu wa jumuia hiyo sheikh...
3 Reactions
178 Replies
31K Views
Tayari mwenyekiti wa bunge maalum samwel sitta ameanza kuhujumu Bunge hilo kwa kuhujumu Hotuba ya Warioba leo hii. Sitta amevunja kanuni kwa kulazimisha Warioba aanze kuhutubia leo ili Rais JK...
6 Reactions
266 Replies
31K Views
UKAWA haitashiriki mchakato wa kura za maoni za April 30th - UKAWA imepinga katiba pendekezwa kupitishwa kibabe na Bunge pale Dodoma - amesema Prof Lipumba. ============================= Dar es...
14 Reactions
314 Replies
31K Views
Hatimaye mabalozi wa nchi za Marekani, Ujerumani na Uingereza waliopo Tanzania kuziwakilisha nchi zao wamemueleza bayana rais Kikwete kuwa hawatathubutu kuhudhuria sherehe za kukabidhiana 'katiba...
32 Reactions
269 Replies
31K Views
Jana kulitokea kutokuelewana bungeni kuhusu kufanya mabadiliko ya kanuni, leo Mwenyekiti wa Kanuni, Pandu akiwasilisha mabadiliko hayo ======= UPDATES: Kile kifungu cha kura ya siri au wazi...
3 Reactions
523 Replies
31K Views
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa. Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa...
13 Reactions
225 Replies
30K Views
Back
Top Bottom