KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Wanajamvi Maandalizi yanaendelea ktk viwanja vya Ikulu Niwasihi mvute subira tuwahabarishe na Wanajamvi walioko hapa tukio kubwa katika hatua ya utungaji wa katiba. Ambapo Tume ya...
5 Reactions
643 Replies
50K Views
Ndugu wanabodi, Kwanza niwashukuru wote mliochangia hasa baada ya kuangalia upigaji kura bungeni leo. Baadhi nimeweka thread zenu humu kuonyesha jinsi mlivyotafsiri hasa pale kura za HAPANA...
6 Reactions
333 Replies
49K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Huku Dodoma hali ni shwari kwa siku ya leo. Nje ya UKUMBI wa bunge hali ya ulinzi imeimarishwa ingawa ni tofauti na jana. Leo wapo askari wachache na ile barabara kuu ya...
2 Reactions
644 Replies
49K Views
Wadau, katika hali ambayo inaashiria kuwa Katiba mpya inapatikana kiulaini, akidi imepatikana ndani ya Ukumbi wa Bunge bila ya kuwahusisha wabunge waliopo ndani ya ukumbi huo na UKAWA waliosusa...
13 Reactions
409 Replies
48K Views
Tusikubali kwenda serikali tatu. Kwa vile tumekatazwa kutaka kuvunja Muungano - japo waliotukataza hawana uwezo huo - na kwamba tunaweza kujadili "muundo" bora wa Muungano. Ninawasihi watu wa...
29 Reactions
752 Replies
48K Views
Wote tumeshuhudia kundi linalosema linasimamia mawazo ya wananchi UKAWA wametoka nje katika kipindi cha jioni leo na kususia bunge maalumu la katiba. Je kuna kitu unakikosa au tofauti yoyote...
7 Reactions
553 Replies
48K Views
BONYEZA HAPA KUPATA NAKALA YAKO KAMA vile imeshindwa kusoma alama za nyakati, serikali imeamua kuchakachua mchakato wa marekebisho ya katiba mpya kwa kuandaa muswada ambao unapinga yote...
2 Reactions
225 Replies
48K Views
Wanabodi, Kanuni ya Kuu ya Kwanza kwa mwanahabari yoyote ni to tell nothing but the truth. Naomba kuitumia kanuni hii kuwaambia Chadema, they were wrong!, walikosea!. Ukikosoa makosa yoyote, toa...
23 Reactions
521 Replies
47K Views
Samuel Sasali anasema:- Kulikuwa hakuna haja ya Kutumia Mamilioni ya fedha kwa ajili ya Tume Ya Warioba Kukusanya maoni na Kujifungia wakati Rais anasema yale mambo ya muungano yanaweza...
7 Reactions
556 Replies
44K Views
Tunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo...
0 Reactions
607 Replies
43K Views
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya. Askofu atangaza kufia katiba • Ni Makamu wa Rais wa Baraza la...
35 Reactions
334 Replies
42K Views
Mbunge wa Viti maalum kupitia CHADEMA Mh.Leticia Nyerere kwa mujibu wa ITV habari usiku huu ameonyeshwa na amesaini kitabu cha Mahudhurio ndani ya Bunge maalum La Katiba ikiwa ni kinyume na...
5 Reactions
350 Replies
40K Views
Fuatilia nami upate kile kinachojiri katika kikao cha 26 cha Bunge Maalum la Katiba. Mwenyekiti wa BMK anaanza kwa dua ya kuombea bunge ili wapate hekima na busara ya kujadili vizuri...
5 Reactions
567 Replies
39K Views
Wadau, ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Nami pia sijambo na nipo tayari kuwaletea kinachojiri Bungeni Dodoma leo Leo sina mengi zaidi ya kuwaomba muendelee kufuatilia mtandao huu wa JF ili...
1 Reactions
552 Replies
39K Views
Jamaa alia kwenye vyombo vya habari akilia kuwa hakupiga KURA ya ndio katika kura za kuipitisha Katiba ,ni aliepiga kura ya HAPANA ,ni mjumbe wa bunge hilo la KATIBA kutoka ZANZIBAR . MMOJA wa...
9 Reactions
381 Replies
39K Views
Wakuu kamanda Lissu anafanya press, sasa hivi Makao Makuu ya Chadema na haya ndiyo amezungumza; - Wadau wa Zanzibar hawajashirikishwa hata kidogo na hawakuwepo kwenye ratiba ya Kamati. - Kamati...
24 Reactions
463 Replies
37K Views
Dodoma/Dar. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya...
0 Reactions
326 Replies
37K Views
CLICK HERE TO DOWNLOAD
1 Reactions
39 Replies
36K Views
Nilipotea kidogo kuwapa habari za ndani kuhusu yanayoendelea ndani ya Bunge maalum la katiba. Jana kulikuwa na kikao cha kamati ya uongozi kujadili kuhusu kujitoa kwa UKAWA ndani ya bunge hilo...
1 Reactions
173 Replies
36K Views
Wadau, natumaini kwamba hamjambo na mnaendelea vema kulisukuma gurudumu la taifa. Nami namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema kwa siku ya leo. Kama kawaida yetu tuwaombee kwa Mwenyezi...
10 Reactions
540 Replies
36K Views
Back
Top Bottom