Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

CHADEMA kwa kiasi kikubwa wamechangia kuporomoka kisiasa Mzee wetu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa ambaye alijijengea himaya imara wilayani Monduli na mkoani Arusha kwa ujumla. Hatahivyo...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Yeyote yule mwenye akili timamu ili apima mfumo gani umetuletea maendeleo lazima ajikite ktk kujua maendeleo wakati wa chama kimoja, na maendeleo wakati wa vyama vingi. Ukijua hayo ni rahisi sasa...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
“Hadi sasa ninachoona ni ‘kurukia’ kauli za JPM, lakini kauli si ajenda na hatupeani maksi kwa kuzungumzia usahihi wa lugha, mimi sijaona mwenendo wa JPM unaosaidia kuingiza upinzani Ikulu...
8 Reactions
37 Replies
7K Views
~ Aagiza kuimarishwa kwa nidhamu, uwajibikaji katika kazi na utatuzi wa kero za Wananchi* Uadilifu, uwajibikaji na nidhamu ndogo ya kazi ya viongozi ndiyo haswa chanzo cha matatizo yasiyoisha ya...
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Hatimaye matokeo yametangazwa ya chaguzi ndogo ambapo wasimamizi wa uchaguzi wamewatangaza wagombea wa CCM wa majimbo ya Ukonga na Monduli kuwa wameshinda kwa kishindo! Matokeo hayo...
16 Reactions
77 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema anatamani chama hicho kikuu cha upinzani nchini kiongoze nchi, huku Watanzania wakiwa matajiri na si masikini
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Hii ipo katika Halmashauri ya wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Sijui wamesahaulika au muda haujafika. Kumbuka hao ni binadamu na wana mahitaji yao binafsi na ya familia zao na wanalitumikia Taifa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Sifa kuu na ya lazima ya mfumo wa vyama vingi vya siasa (multipartism) popote pale duniani ni kuwa na ushiriki huru na wa haki wa vyama katika kutangaza sera kwa umma na hatimaye kushindana kwenye...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimeandika hapa ni baada ya kupata habari toka humu jamvini inayohusu Uchina kutaka kulichukua na kuwa chini yao shirika mamlaka ya umeme la Zambia,na hii ni baada ya kushindwa kulipa mkopo usio...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni ujinga tu kudhani umeshinda uchaguzi huku unatambua fika kwamba umepora haki ya wananchi unaojinasibu kwao kwamba unapigania haki zao na maisha yao ya unyonge. Rushwa ni pamoja na matumizi ya...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa haya niliyoyaona kwenye chaguzi ndogo haya yote yaliyotokeaaaa basi nitashangaa nikiwaona chadema wakishiriki marudio ya chaguzi ndogo. Kwa sababu hata muamko wa watu kupiga kura haupo,pili...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mamlaka ya Maji Arusha AUWSA yatumia 198mil kuchunguza ufisadi wa milioni 18/ WIZARA ya Maji na Umwagiliaji ‘imesinzia’ kiasi cha kuifungulia milango Ikulu ya Rais John Magufuli kufanya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Redirect
Hakika napata hasira sana kusikia Mbunge au Diwani kajiuzulu.Kinachonikasirisha ni sababu wanazotoa za kufanana ambazo hazina tija kwani huyo Mbunge na Diwani wanajua shida tulizonazo wananchi za...
0 Reactions
Replies
Views
Ni mtazamo wangu kuwa wanasiasa wawili kutoka upinzani wanastahili kutunukiwa PhD za heshima kwa mchango wao mkubwa wanaoutoa kwa nchi kama wabunge na kama raia wazalendo wa nchi hii. Kuna mmoja...
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wameondoa kwenye soko zaidi ya tani moja ya nguo za ndani za mitumba ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa shirika hilo la kuhakikisha nguo hizo hazitumiwi...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
  • Redirect
Nilimshuhudia hiyo binti akifoka kwa maneno machafu Mawakala wa vituo, akimwalazimisha kupokea Simu ya Msimamizi wa Uchaguzi, kitu ambacho siyo sahihi, hakuna kifungu au sheria inayomlazimisha...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nipo hapa najisomea utaratibu wa sasa wa kura za maoni ndani ya CCM. Naona kipengele kwamba kamati kuu ndio yenye jukumu na maamuzi ya mwisho nani agombee na nani asigombee. Natafakari tu hatima...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa October 2015. Kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa na mgombea wa CCM...
11 Reactions
73 Replies
13K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo amewataka wahandisi washauri wanaosimamia miradi ya barabara katika maeneo mbalimbali nchini kuwa upande wa...
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Back
Top Bottom