Waandaaji wa kongamano Kituo cha Tarekhe ya Uislam na Wanavyuoni wa Afrika Mashariki na Maahad Juneyd Islamy Zanzibar waliwaalika wanahistoria kujadili ni lini Uliingia Uislam Pwani ya Afrika...
"CHICKEN ON THE BONNET" (KUKU JUU YA BONETI YA GARI)
Hawa kuku wawili nimewaona wamepanda juu ya boneti ya gari nje ya nyumba yangu.
Nikawa naomba dua wasiruke hapo kabla sijawapiga picha.
Picha...
"BARA MTATESEKA SANA KWA SABABU HAMTAKI KUTUJUA WAZANZIBARI"
Ilikuwa wiki ya pili tu baada ya uchaguzi wa Rais Zanzibar baina ya Maalim Seif na Dr. Ali Mohamed Shein.
Mwaka ni 2010.
Kumbukumbu...
Ndugu zangu baada ya kitabu hiki "The Torch on Kilimanjaro," kuhujumiwa nikajituliza.
OUP wakanirudishia kwa masikitiko makubwa mswada wangu mpya niliowapa wakaniambia kuwa inaelekea sipendeki...
Na Ahmed Rajab
SIKU hasa siikumbuki. Lakini mwezi na mwaka naukumbuka. Na siku zenyewe kwa jumla ninazikumbuka. Zilikuwa siku za Morogoro Jazz Band na Mbaraka Mwinshehe. Simba Wanyika hawakuwa...
Hivi Gazeti la Mwanahalisi liko wapi?
Naye Dr.ulimboka amehamia nchi gani?
Hivi mgomo wa walimu lini?
Na mafisadi wa EPA watanyongwa lini?
Hivi unakumbuka mbunge analipwa posho kiasi gani kwa...
''THE TORCH ON KILIMANJARO'' KITABU CHA SHULE ZA MSINGI KINACHOELEZA HISTORIA YA MWALIMU NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
OUP walialika waandishi wa Afrika ya Mashariki kupeleka...
PETER COLMORE, MWENDA JEAN BOSCO NA EDUARDO MASSENGO, KENYA 1959
https://youtu.be/1LH7T6hbKto?si=j8ZNHvlOpbzEOdX4
Majina haya matatu: Peter Colmore, Eduardo Masengo na Mwenda Jean Bosco yana...
Kwa mwanahistoria au muhenga aliyekuwepo au yeyote aliyehudhuria msibani kama labda walisomewa wasifu unaotoa mwanga juu ya hili, naomba kuuliza:
Huyu Marehemu aliyeagwa Karimjee na heshima za...
Wakuu mnaopenda kuangalia movie ambazo zinatengenezwa kwa kufata historia au matukio ya kweli basi hii Movie ya Lone Survivor ni moja ya matukio ambayo yaliitingisha Marekani 2005.
Huyu ndio...
Wana Jf na wana jukwaa kwa ujumla, katika pitapita zangu za makala za historia ya watu na mambo mbalimbali yaliyopata kutokea duniani, nilikutana na sentensi hiyo ambayo imehusishwa na tabaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.