"Mwanasiasa Mkongwe" alifanya nini cha mno?

Kwameh

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,773
2,099
Kwa mwanahistoria au muhenga aliyekuwepo au yeyote aliyehudhuria msibani kama labda walisomewa wasifu unaotoa mwanga juu ya hili, naomba kuuliza:

Huyu Marehemu aliyeagwa Karimjee na heshima za kitaifa na kila mtu nani anaweza kutueleza amefanya nini cha distinction katika nchi hii?

Inaonekana the go-to guy wa historia ya babu huyu ni mdogo wake ambae alikuwa anahojiwa msibani na watoto wa u tube TVs ambao alikuwa anawa take for a ride kwa sababu hawajui chochote masikini ya Mungu.

Kwa mfano, kadai Marehemu kaka yake alijiunga TANU wiki moja baada ya kuanzishwa, 1954, na ana kadi namba 8.

Okay, kwa hiyo wiki moja baada ya TANU kuanzishwa kulikuwa na wanachama 7 na yeye kaja wa nane. Vipi wale wazee 17 wa TANU walioanzisha chama na kupiga picha pale Lumumba na Narung'ombe? Hawakupewa kadi?

Kama ni kweli basi kina Nyerere walipojigawia kadi wali take advantage ya wale mababu wa Kariakoo ambao hawakusoma. Na ndio maana Muhammed Said, as muslim fundamentalist as they get is, inabidi sometimes tukubali ajaze void ya taaluma mfu ya historia yetu.

240px-The_National_Archives_UK_-_CO_1069-165-3.jpg
 
Kwa mwanahistoria au muhenga aliyekuwepo au yeyote aliyehudhuria msibani kama labda walisomewa wasifu unaotoa mwanga juu ya hili, naomba kuuliza:

Huyu Marehemu aliyeagwa Karimjee na heshima za kitaifa na kila mtu nani anaweza kutueleza amefanya nini cha distinction katika nchi hii?

Inaonekana the go-to guy wa historia ya babu huyu ni mdogo wake ambae alikuwa anahojiwa msibani na watoto wa u tube TVs ambao alikuwa anawa take for a ride kwa sababu hawajui chochote masikini ya Mungu.

Kwa mfano, kadai Marehemu kaka yake alijiunga TANU wiki moja baada ya kuanzishwa, 1954, na ana kadi namba 8.

Okay, kwa hiyo wiki moja baada ya TANU kuanzishwa kulikuwa na wanachama 7 na yeye kaja wa nane. Vipi wale wazee 17 wa TANU walioanzisha chama na kupiga picha pale Lumumba na Narung'ombe? Hawakupewa kadi?

Kama ni kweli basi kina Nyerere walipojigawia kadi wali take advantage ya wale mababu wa Kariakoo ambao hawakusoma. Na ndio maana Muhammed Said, as muslim fundamentalist as he is, inabidi sometimes tukubali ajaze void ya taaluma mfu ya historia yetu.

240px-The_National_Archives_UK_-_CO_1069-165-3.jpg
Isingekuwa kwa sasa tunamjadili shehe wa mkoa kwa kuitishia JF kuwa ataipeleka Mahakamani ningekupa jibu hilo usingerudia tena kumçhezea mzee wetu kingunge ngombale mwiru
 
Back
Top Bottom