''Bilal nusuru umoja wa waislam'' Mufti Sheikh Hassan bin Ameir 1963

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,170
30,521
Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani:
 
Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani:

..Sheikh Mohamed Said risala aliyosoma Bilal Waikela mbele ya Mwalimu Nyerere ilihifadhiwa?

..unaweza kui-post hapa Jamii Forums ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?

..natanguliza shukrani.
 
..Sheikh Mohamed Said risala aliyosoma Bilal Waikela mbele ya Mwalimu Nyerere ilihifadhiwa?

..unaweza kui-post hapa Jamii Forums ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?

..natanguliza shukrani.
JK,
Risala hii haipo katika Nyaraka za Waikela wala za Tewa Said Tewa.
Lakini nimeweza kupata yote muhimu yaliyokuwa katika risala ile.

Waikela aliniambia kuwa baada ya kumaliza kusoma risala ile yeye alikuwa
na yake aliyotaka kumweleza Nyerere.

Haya mimi nimeyajumuisha katika rsala na yapo katika kitabu cha Abdul Sykes.

Haya yalikuwa maneno makali sana na yalihusu juhudi na mchango wa Waislam
katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom