Habari ndugu
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
Swalama wakuu?
Hivi watumishi wenye jitihada kama walimu Wa Shule ya Sekondari Kisimiri kama huyu mkuu Wa Shule Na Mwalimu Wake wa taaluma plus walimu wengine kwa ujumla kwa nini Serikali...
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
With fully mandate we are selling some of earth moving machines and trucks with guarantee of visibility and legit business accountability for more details and serious buyers please contact Eng Em...
Habari za majukumu wapambanaji wenzangu.
Nipo kwenye hili jukwaa leo kuomba msaada kuhusu a to z ya biashara ya urembo wa magari yaani car accessories kama carpets, steering cover, radio...
Nina shida na kupata laini za uwakala tigopesa, airtel money na m pesa kwa bei nzuri
Ni sehemu gani ninaweza nikapata zenye jina langu na bei nafuu
Kwa sasa nipo Singida Itigi
Asalaam wana JF,
Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea...
Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu...
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli.
Kuhusu Faida
Biashara ya kweli ni biashara...
Wakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo...
Ni kweli mafao ya wastaafu hayatoshi (si wao tu asilimia kubwa ya wabangaizaji Tanzania either hakuna wanachopata na wakipata hakitoshi)...; Lakini wakati tunachemsha Bongo jinsi ya kuwarekebishia...
Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa...
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo nimeamua kujikita kwenye ufugaji wa kuku wa Nyama(broilers).
Nilikua nahitaji mtu ambae ana connection ya uuzaji wa kuku kama vile kwenye restaurants au vibanda vya...
Baada ya kuona hii article hapo chini imenikumbusha kwamba hii kitu ina market sana Ghana na Nigeria.. (kweli one Man's meat is another Person's Poison)
Austria's only snail farmer...
Wakuu,
Nataka kujitosa kwenye hiii biashara ikiwezekana hata kesho.
Nina desktop mpya kabisa yenye uwezo wa ku-burn CD/DVD.
Mwenye ideas\uzoefu wa hii kitu anijuze
Wadau wangu habari za kazi, niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu kama mnavyojua Dunia saivi tulipofikia inahitaji matumizi ya akili sana kuliko nguvu kujipatia kipato kama vijana.
So kuna...
Habari wana JF,
Nimekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele?
Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi...
MRADI WA MACHIMBO YA DHAHABU NYANZAGA KUANZA UTEKELEZAJI WAKE MAPEMA
-Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya Perseus Dodoma leo
-Awataka kuharakisha uendelezaji wa mradi
-Asisitiza...
Wakuu,
Proforma Invoice inatumika vipi? Pili, mimi ni freelancer na mteja anataka Proforma, nifanyeje? (niprint yangu? Je, vitu kama TIN na VRN ntatoa wapi au nibuni tu?
Au nitumie Proforma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.