Biashara ya urembo wa magari (Car accessories)

Money gang

New Member
May 4, 2021
3
4
Habari za majukumu wapambanaji wenzangu.

Nipo kwenye hili jukwaa leo kuomba msaada kuhusu a to z ya biashara ya urembo wa magari yaani car accessories kama carpets, steering cover, radio, stickers, air freshner, na vingine vingi ambavyo sijavitaja.

Ningependa kujua nitahitaji mtaji wa shilingi ngapi kwa kuanzia na ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya jumla? Sina mtaji wa kuagiza mzigo nje ya nchi kwa sasa.

Biashara nataka kuiweka kanda ya kati, asanteni!
 
Vipi Bozs ulifanikiwa kupata data Japo kidogo kwenye uhu Uzi wako
 
Back
Top Bottom