Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

Habari zenu jamani. Kwanza nikiri kwamba naandika post hii huku kichwa kinaniuma. Toka nimepata hii pesa (600k nimeuza mali, 400k nimekopa) nimeumiza sana kichwa biashara gani ntafanya ili...
11 Reactions
95 Replies
34K Views
Mara nyingi waajiriwa wamekuwa wakipata changamoto ya kufeli kwa biashara, wanazozianzisha, tena mapema sana, kutokana na kutokuwa na uelewa (awareness) wa kutosha na muda wa kusimamia. Factors...
7 Reactions
13 Replies
862 Views
Wasalaam Wakuu, To the point...well nimewaza kama kuna uwezekano wa kununua boda boda mpyaa from china na kuziuza huku TZ huenda kule zikawa kidogo nafuu then nije niuze huku hata mkoa hatimae...
6 Reactions
20 Replies
9K Views
Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa...
10 Reactions
137 Replies
5K Views
Ukiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone Mchanganuo pendekezi huu hapa Utanishukuru baadae 100,000 Akiba (weka utt) 40,000 Sadaka 80,000 Kodi ya nyumba 80,000 chakula 50,000 usafiri...
23 Reactions
161 Replies
4K Views
Waislamu wanatumia muda wa mwenzi mzima kwa ibada nzito ya kufunga na pia wanatumia gharama nyingi kwa maandalizi ya sikukuu ya idi ambayo nayo kusherehekea kwake kuna maelekezo ya kiibada. Kuna...
2 Reactions
10 Replies
269 Views
Habarii Nauza pumba laini nina mzigo wa kutosha kwa takae hitaji anichek no 0757795588
0 Reactions
1 Replies
114 Views
habari waku,nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza mazao ya chakula kama mahindi,maharage na mengine .kwasasa nimeshafanya michakato ya kupata fremu ya kuuzia ila sijajua naanzia wapi kufanya...
0 Reactions
2 Replies
129 Views
Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini...
1 Reactions
17 Replies
509 Views
Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani. Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
108 Views
Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh. 1. Dar es Salaam - 4,678,751 2. Iringa - 4,028,544 3. Mbeya - 3,788,604 4. Ruvuma - 3,396, 587 5. Kilimanjaro - 3,393,587 Mikoa masikini Tanzania 1...
12 Reactions
52 Replies
47K Views
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi...
5 Reactions
9 Replies
248 Views
Wakuu msaada, Nawezaje kuwa wakala wa vifurushi vya Halotel? Nafurahi sana nikihudumia watu.
0 Reactions
4 Replies
403 Views
Kuwekeza kwa mustakabali ni hatua muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na uhakika wa maisha. Kwa kuwa na mbinu sahihi za kusimamia akiba na uwekezaji, mtu anaweza kufikia malengo ya kifedha na...
1 Reactions
0 Replies
91 Views
Wakuu habari, Kuna uzi nilishawahi kuusoma humu ndani juu ya uwekezaji kwenye mifuko ya UTT. Kuna ndugu aliuliza ni kiasi gani anapaswa kuwekeza ili aweze kupata return ya Tshs 250,000 kila...
6 Reactions
19 Replies
603 Views
Habari, Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu. Sihitaji high return business bora nipate...
35 Reactions
255 Replies
15K Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Tanzania imepanda Hadi nafasi ya 2 kama mzalishaji mkubwa wa Zao la Tumbaku Afrika ikitanguliwa na Zimbabwe. Hata hivyo Waziri Bashe amesema huenda Tanzania...
2 Reactions
4 Replies
317 Views
Kwa muda mrefu nimekua na kiu ya kupata uelewa sahihi wa tresuary bills na tresuary bonds zinazosimamiwa na BOT lakini nimekosa maelezo sahihi au sijui nisemeje. Natama kufahamu yafuatayo:- 1...
4 Reactions
24 Replies
859 Views
Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!! Kwa hali hii imenipasa kuuliza kama hata lami ipo...
10 Reactions
206 Replies
37K Views
Habari za wakati huu wapendwa, Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku...
28 Reactions
98 Replies
3K Views
Back
Top Bottom